Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Aya timu daimond umesomeka
 
Kwahiyo kusaidia kukamata waharifu ndo figisufigisu?
Kwenye mambo kama haya ondoa ushabiki
 
Bado kijana sana huyu... Sidhani hata umri wake anajua mziki mzuri ni Upi.. Nadhani Polisi wampe kibano Then wamwache... Wengne kisago ni adhabu tosha kwao
 
Kwahiyo kusaidia kukamata waharifu ndo figisufigisu?
Kwenye mambo kama haya ondoa ushabiki
Leo ndo kaona matusi[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ....!!

akamate wote wanaotukana sio yule tu!!!

ukweli ndo huo mnafiki tu!

japo mi naona bora kakamatwa maana labda itawaogofesha kina dula square..mana wanaume wanatukaa km machokoo!
 
Wasanii wapuuzi sana wanashidwa kuwakemea nahisi wanaogopa kupoteza followers.Hasa mtu kama Kiba hamfollw mtu yoyote Lakini watu mishipa ya shingo inawasimama kutukana kwa sababu yake.
Hizi timu zote ukiwaangalia ni watu waliojichokea na wasanii wanawaendekeza wenyewe. In short hizi timu ni jipu zinahtaji kunyooshwa watanzania walikurupukia matumizi mabaya ya mitandao
 
majungu at work...!unamjua duller square...?!

zarinah soldier...?

zarimond platinum?!!

coffee table...?!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] double std...

kumbe wewe ni team Fulani!!

siungi mkono matusi!
Yani tena hyo timu zarina kuna kipindi walikua wanamtukana mama diamond, ili kuwakomesha ni kuwashtaki tu maana huyo coffee table ni account nyingine ya baby yake
 
Leo ndo kaona matusi[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] ....!!

akamate wote wanaotukana sio yule tu!!!

ukweli ndo huo mnafiki tu!

japo mi naona bora kakamatwa maana labda itawaogofesha kina dula square..mana wanaume wanatukaa km machokoo!
Huu ndo umekuwa mwanzo...
Hata hao TM MOND wanaotukana wakamatwe tu.
Mtu unamtukana mpaka mama ake,, ndugu hadi jamaa zake wa karibu... Huu sio utu kabisa
 
Yani tena hyo timu zarina kuna kipindi walikua wanamtukana mama diamond, ili kuwakomesha ni kuwashtaki tu maana huyo coffee table ni account nyingine ya baby yake
wapumbavu sana Ila ukitak kujua saallam na daimondi ni machizi si wangewashtaki sasa..
kaahhh!yani mtu anamtukana mzazi wako halafu eti unakaa kimya..Leo huyo salaam anaenda shtaki..mnafiki wa mwendo kasi..!!

baby ake...cofee wanawatukana wazazi wadaimondi hawashtaki..

upuuzi Ila bora wakamatwe!
 
Huyo diamond kamu unfollow kabisa duller square Leo na mwingine zarinas sijui nani, tena kipindi wanamtukana mama yake alipiga kimya. Hawa wasanii wetu waacha kuendeleza upuuzi kwa kuogopa eti ushabiki. Mbona nje kina Beyonce wana timu zao lakini huwezi kuta wanaingiliwa private life lao, wao Ku post kazi zao tu basi, ila kibongo bongo hawa mashabiki wanajua had vyumba vya mastar. I wish wapuuze wote watukanaji wakamatwe.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mwanzo alikua anamfollow umeona eehhh...?!
so means anatetea matusi ya kina duller...?!!
WTF....!!!!
Ila wapuuzi hapa watatetea hayo..

duller anamuita daimond mmewe..![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]...!!
yetu macho sie wambea!
 
majungu at work...!unamjua duller square...?!

zarinah soldier...?

zarimond platinum?!!

coffee table...?!!
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] double std...

kumbe wewe ni team Fulani!!

siungi mkono matusi!
Kama huyu duller square weka mbali na watoto mkuu[emoji20] tusi moja tu unazimia [emoji33] akikupiga la pili unarest in peace[emoji125]
 
Kamu unfollow Leo hii sasa ka huyo shilole alikua na matusi makubwa mno kupita kiasi, hafu ukimuona ni mtoto tu, huyo duller square hata T-shirt ya kuvaa tu anakosa kajichokea mwenyewe. Mi napenda wakamatwe wote hafu kuwadaka ni kuwahadaa tu
 
Yule fundi mitambo ni jipu lingine kwenye muziki[emoji32]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…