Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Ukiwa shabiki ni vigumu sana kung'amua mambo maana ata lile linalosaidia jamii utalipuuza nakuoan kama halina maana
 
Kamu unfollow Leo hii sasa ka huyo shilole alikua na matusi makubwa mno kupita kiasi, hafu ukimuona ni mtoto tu, huyo duller square hata T-shirt ya kuvaa tu anakosa kajichokea mwenyewe. Mi napenda wakamatwe wote hafu kuwadaka ni kuwahadaa tu
hahaaa.....!umeona eehh!means wanasapoti ujinga wao wote..!

nasema wakamatwe wote na waache unafiki!
Kama huyu duller square weka mbali na watoto mkuu[emoji20] tusi moja tu unazimia [emoji33] akikupiga la pili unarest in peace[emoji125]
acha kabisa tena anasema yy ni Mke wa diamond!
Hua sipendagi mnoo matusi kwa kweli nachukia sana!na wenye matusi hua siwafolo!
 
Hivi Yale matusi yangekuwa yameelekezwa Kwako na family yako ungetetea ujinga huu?
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] upo..kaka...!!
Nipo dada yangu yaani hizi teknolojia hizi kuna mambo yananifanya nikumbuke posta na simu zile za kidungu nyeusi hizi unazunguusha namba dah ilikuwa ndio mawasiliano hayo mtaa mzima unakuta nyumba moja ndio ina huduma hiyo.
Sasa siku hizi pana faida kuwa na hii huduma ila matakataka pia mengi kama haya ya kina nyonga sijui kiuno kisha mtoto wa kiume anaporomosha maneno mazito kama hivi.
 
hahaaa.....!umeona eehh!means wanasapoti ujinga wao wote..!

nasema wakamatwe wote na waache unafiki!

acha kabisa tena anasema yy ni Mke wa diamond!
Hua sipendagi mnoo matusi kwa kweli nachukia sana!na wenye matusi hua siwafolo!
Wakamatwe kwa kweli watu wenyewe hawana mbele wala nyuma huo mda wangefanya kazi wangekuwa mbali
 
Hivi Yale matusi yangekuwa yameelekezwa Kwako na family yako ungetetea ujinga huu?
Sitetei ujinga kwanza wenye matusi siwafollow ht kidogo!

Ila Huyo salaam sijui mdudu gani...angwashtaki kwanza walivyokua wanamtukana ESMA na Mama diamond Siku chache zilizopita...!!

Wafungwe tuu!

Ila waache unafki!!au wale kwa kua walimtukana mama diamond,ESMA na Hamisaa?!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…