Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono


Basi huwa hunielewi
Na appriciate kazi za Kiba especialy zikiwa nzuri, kama zikiwa mbaya kwa kweli huwa na mchana, na akifanikiwa huwa nampongeza.

Juzi nilimpongeza AK kwa kuchukua tuzo ukasema ni uchuro, nilikwambia kuwa sina chuki na Kiba si msanii mbaya ila he is no where near diamond, Kiba is second best, ambapo siongei tuu, mafanikio yao yana jionesha ni vitu viwili tofauti.

Nenda tafuta kama kuna post yoyote niliyo wahi kumtukana shabiki wa Kiba au Kiba mwenyewe, ukiikuta ipost hapa

Duller simjui so siwezi kumwambia, angalia hata character zangu kama zina fanana na matusi. Sasa nashangaa unavo niweka kundi moja na huyo mtu. Sasa sjui unataka na mimi nianze kuwa dulla wa Jf!!

Am proud kuwa namkubali diamond, lakini sasa hiyo hainifanyi nimchukie Kiba , au kila saa nikiongelea Kiba lazima na Diamond aongelewe.

Think big ur better than that. Sku hizi sijui umekuwaje!!, tunako enda si kuzuri.

NB
Mimi ni tim Tanzania. Lakini nina preference zangu jambo ambalo kila mtu analo.
 
Huyo dullar nenda ukamkamate wewe umpeleke segerea kabisa
 
Nilitaka nikupe somo lakini naona akili yako ina matege, kwa kukupa wazo kidogo linganisha unachoandika na maudhui ya hii mada
Wewe nawe ua out of my content usidadandie usichokijua soma tangia mwanzo uelewe
 
Zile pingu wamezitoa wapi acha kupelekesha na u team[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sasa huyo sallam anakaa na wahalifu yeye ni jeshi la police naye anatatizo. Kwanini asimpeleke police huko sasa akimfanyia vitu vibaya?
 
Pichani anaonekana mtoto... Bado hajakua akila vibao na kuwekwa lock up style ya lema harudii tena huyo
 
Sallam ana miliki pingu[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndo nashangaa kajipa kazi ya upolice hivi huyo dogo likimpata baya siataubeba huo msala mwenyewe. Maana wamemrokodi sebuleni na pingu juu sijaona police pale.
 
Wewe kweli hamnazo hivi polisi unawauliza shilole kiuno watakujibu wakati ana jina lake la kwenye cheti cha kuzaliwa?
Soma maelezo yote usisome juujuu na kukurupuka kukoment...
 
Haha haha lulu aliniblock Na skuwah kumkomentia chochote Na Nina kufuli lake ad leo[emoji24] [emoji24]
Mie insta huwa sipendi Ku comment mastar wanapenda kusikia wakipendacho ukiwa tofauti hata ka hujatukana block unalipata na tena kulivo na utoto mwingi mle
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…