Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,094
nimesoma na kuelewa vzr nimeona dhahiri ulivyo na double std...!!
ww ni timu diamond ukubali ukatae...!
tena nyie ndo team panic at work sema watu hawana time n nyie tu!
always negativity abt about ally kiba...never appreciate his work ht hongera..
!!
pole lakini kwa kukuambia ukweli[emoji23] [emoji23] [emoji23] na ukaingia kwa moyoo!!!
muambie duller aache matusi!
Basi huwa hunielewi
Na appriciate kazi za Kiba especialy zikiwa nzuri, kama zikiwa mbaya kwa kweli huwa na mchana, na akifanikiwa huwa nampongeza.
Juzi nilimpongeza AK kwa kuchukua tuzo ukasema ni uchuro, nilikwambia kuwa sina chuki na Kiba si msanii mbaya ila he is no where near diamond, Kiba is second best, ambapo siongei tuu, mafanikio yao yana jionesha ni vitu viwili tofauti.
Nenda tafuta kama kuna post yoyote niliyo wahi kumtukana shabiki wa Kiba au Kiba mwenyewe, ukiikuta ipost hapa
Duller simjui so siwezi kumwambia, angalia hata character zangu kama zina fanana na matusi. Sasa nashangaa unavo niweka kundi moja na huyo mtu. Sasa sjui unataka na mimi nianze kuwa dulla wa Jf!!
Am proud kuwa namkubali diamond, lakini sasa hiyo hainifanyi nimchukie Kiba , au kila saa nikiongelea Kiba lazima na Diamond aongelewe.
Think big ur better than that. Sku hizi sijui umekuwaje!!, tunako enda si kuzuri.
NB
Mimi ni tim Tanzania. Lakini nina preference zangu jambo ambalo kila mtu analo.