Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Dengue hawamuwezi walishamkamata Mara kibao na akawashinda halafu anajielewa yani dengue na dougiemasta wale wameshindakana na mange Google haina taarifa zake
 
Dengue hawamuwezi walishamkamata Mara kibao na akawashinda halafu anajielewa yani dengue na dougiemasta wale wameshindakana na mange Google haina taarifa zake
Ww dengue hajawahi kamatwa
 
Huyu dogo ana matusii makubwa cjaona loh afadhar akamatwee na bora amekatwa tuu bado yule duller square
 
kumrudisha ni ngumu tayari ana watoto wenye uraia wa kule! halafu marekani sheria ya mitandao sio kali kama hii yetu
 
alizidi mpaka inafikia hatua anamuharibia biashara mwenzie aliyowekeza pesa nyingi kiasi hicho!
 
Kama Ali Kiba hakuwahi kumkana huyu bwana basi naye ni Mnafiki namba moja kwani huyu bwana hakuwa muungwana hata kidogo na alihitaji kukemewa na waliokuwa wanadhani wananufaika na utovu wakw wa nidhamu.
 
Wala sikuwahi kufikiri mitusi yote hiyo alokuwa anaitoa atakuwa mwanaume , mungu atuepushie vijana wetu.
Hapo ndo unashangaa skuiz dunia imeisha mtu anatukana mpaka basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…