Dah afadhali huyu jamaa ni anatukana, yaani mpaka basi na Kuna mwenzake anaitwa dullah nani sijui nae anatukana. Kwa wale msiojua ukitaka update au taarifa yyt mpya ya kiba lazima ianzie either kwa huyu shilole au dengue na hata habari ya kiba kushinda mtv ema zilianzia kwa huyu. Sijui labda anaweza kukawa na support anayoipata hatujui. Huyu shilole mimi nilizani atakuwa mwanamke (sijui shoga), kumbe mwanaume, dah nawahurumia wazazi wake, kama ulikuwa unaangalia comment za watu ktk page za mtv ema, mtv mama kiranja aliyekuwa anaongoza kutukana matusi baada ya mtv kukosea kumpa tuzo wizkid ni huyu, akaenda mpaka ktk page ya wizkid, wizkid baada ya kuchoshwa na matusi take akamblock, baadaye akahamia ktk instagram page za mabloger, TV na radio zilizokuwa zikitangaza utata wa tuzo za mtv ema katukanana na wanaijeria ww na baadhi ya wajinga wenzake wakajiunga nae.Kuna watu watasema mbona wengine hawajakamatwa, mi naamini ni swala la Muda watakamatwa, Ila asanteni vyombo vya usalama ila bado hawa dullah na dengue Homa ya jiji hawa nao wasekwe ndani.