Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Jamani yani kijana mdogo saa hizi anawapa shida wazazi wake yani hayo Matusi sijui anaandikiwa,yani kama alivyomtukana Wema baada ya ile video na Calisah.
 
Huyo ni me au ke? Alijificha chini ya jiko la mkaa...
 
yaani huyu mtoto nimeingia kwenye page yake hiyo silole kiuno IG sura yake na vitu alivyoandika haviendani hata kidogo.
kukosa elimu na shughuli ya maana ya kufanya ni janga la kitaifa. dah... maisha haya... matusi ya nguoni, mtoto mdogo anaandika bila hata aibu au woga.
 
Aisee kwa mitusi ile nilijua mdada kumbe kivulana!
Alaf mbna mdomoni ana rangi nyekundu au ni vitasa kachezea?
Team kiba mjipange mkalipie faini ya m7 kwa kila kosa maana tean mond inahamasishana kila alietukanwa akafungue kesi sijui wangapi watafungua kesi ila kwa hesabu ya haraka kwa meseji moja aliyotuma katukana watu 10 zidisha kwa m7 wastan kianzio m70
 
hata kama ametumwa, aliandikiwa au ni kuambiwa tu mtukane Fulani halafu matusi yote anayapanga yeye? yaani mambo ya ajabu sana lol matusi makubwa makubwa mtoto mdogo kabisa.
 
Kuna yule shoga anaitwa dulla square anamtukana wema na kiba ila hakamatwi
Anayetukanwa ndio mwenye wajibu mkubwa wa kwenda kushitaki polisi hivyo kufanikisha ukamataji wa mtuhumiwa. WCB wametukanwa sana na huyo dogo, na kwa kutambua kwamba nchi inaendeshwa kwa sheria wakaamua kuripoti kwenye vyombo vya sheria na hivyo kupelekea kukamatwa huyo dogo. Nina imani na wengine nao wakifuata mfano wa WCB basi watu watajifunza kutumia mitandao kwa usahihi. Unzuri ni kwamba hakuna aliye juu ya sheria.
 
Wavulana wa dar ni janga, kama mwanaume anakuwa vile Kuna shida sana ya kuondoa ushoga
 
Dengue hawamuwezi walishamkamata Mara kibao na akawashinda halafu anajielewa yani dengue na dougiemasta wale wameshindakana na mange Google haina taarifa zake
Kama walimshindwa dengua kipindi cha Jk na wakati wa Anko magu hakuna kitakachoshindikana
 
Rai yangu kwa vijana wa Dsm hebu rudisheni heshima ya WANAUME kwa maana ya kufanya kazi na kuachana na too much talks and nonsense zisizo na Tija kwa Taifa hasa kwa ujumla.
Mimi sioni haja ya kupamabana na mpumbavu kwa maana ya kusema eti au kuiatana polisi kufungua kesi za matusi au kashfa.

Kesi zina gharama zake ikiwemo fedha,muda ambao ni ghali sana wekeni concentration kwenye mambo ya msingi na yenye Tija kwa Taifa hasa.
Simtetei mualifu yeyote yule endapo itathibitika kisheria kuwa ni mualifu, mimi simfahamu huyo dogo na hata sipo kwenye mitaondao mingine ya Kijamii isiyo na Tija au kuwa na nonsense chats.
Vijana wa Dsm mmekuwa kwenye kundi la waongeaji sana bila vitendo hadi inatia aibu....na maongezi yenu mengi ni mambo ya ajabu,si wahukumu kwa hili au sina maana ya vijana wote mlivyo ila ni wengi wenu na mmepitiliza.
Kwa mkoa ninaotoka wanaume hatuzungumzi ovyo na sana zaidi ya vitendo...hebu badilikeni kutunza heshi ya Mungu aliyotupa sisi wanaume.
Andiko langu ni baada ya kusoma posts zenu na kushabikia mambo yasiyo na msingi eti mtu utoke Mfano Mkoani uje umfungulie mtu kesi na hata kama upo Dsm lazima ufanye consideration ya TOTAL COST TO FILE A CASE AS LONG NO CASE WITHOUT COST.
PLEASE DSM GUYS CHANGE VERY ASAP TO RESTORE MAN POWER & RESPECT, WAACHIA MAMLAKA HUSIKA MSIPOTEZA WAKATI.
 
Duuuh milion saba wazazi wake wanayo kumbe me nilidhani ke safiii sana bado wengine saivi sheria imeruhusu watadakwa wengiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…