Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si kama huyo Alikiba anamfahamu. maana hizo team sijui hata kama wanawajua waanzilishi. yaani mtoto kujitia kwenye matatizo. maisha haya... dah..Hayo ndio matokeo ya ushabiki maandazi ngoja tusubiri tuone kama Alikiba ataenda kumsaidia!
Wagalatia 6:7!Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali
View attachment 435882
View attachment 435883
View attachment 435884
View attachment 435885
"Msidanganyike,Mungu hadhihakiwi,kwa kuwa chochote apandacho mtu,ndicho atakachovuna"!Wagalatia 6:7!
Amevuna alichokipanda!Ukiendelea hadi 8 inakamilisha kabisa mkuu imalizie!"Msidanganyike,Mungu hadhihakiwi,kwa kuwa chochote apandacho mtu,ndicho atakachovuna"!
atakuwa type ya kina ravyyounWala sikuwahi kufikiri mitusi yote hiyo alokuwa anaitoa atakuwa mwanaume , mungu atuepushie vijana wetu.
Anayetukanwa ndio mwenye wajibu mkubwa wa kwenda kushitaki polisi hivyo kufanikisha ukamataji wa mtuhumiwa. WCB wametukanwa sana na huyo dogo, na kwa kutambua kwamba nchi inaendeshwa kwa sheria wakaamua kuripoti kwenye vyombo vya sheria na hivyo kupelekea kukamatwa huyo dogo. Nina imani na wengine nao wakifuata mfano wa WCB basi watu watajifunza kutumia mitandao kwa usahihi. Unzuri ni kwamba hakuna aliye juu ya sheria.Kuna yule shoga anaitwa dulla square anamtukana wema na kiba ila hakamatwi
KWA UPUPU ALIOFANYA HUYU DOGO ILI ACHOMOKE KWENYE HIYO KESI AT LEAST LAZIMA AWE NA MILLION 60...Shabiki maarufu instagram wa alikiba na anaejiita kiongozi wa team kiba hatimae amekamatwa na jeshi la polisi kwa kutukana na kukashifu watu mbali mbali mtandaoni, kijana huyo amekuwa akiandika matusi mazito na kukashifu watu mbalimbali
View attachment 435882
View attachment 435883
View attachment 435884
View attachment 435885
Mmmh zote izo atazitoa wapi au bosi wake kiba atamtoleaKWA UPUPU ALIOFANYA HUYU DOGO ILI ACHOMOKE KWENYE HIYO KESI AT LEAST LAZIMA AWE NA MILLION 60...
Kama walimshindwa dengua kipindi cha Jk na wakati wa Anko magu hakuna kitakachoshindikanaDengue hawamuwezi walishamkamata Mara kibao na akawashinda halafu anajielewa yani dengue na dougiemasta wale wameshindakana na mange Google haina taarifa zake