Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Unatutisha au [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana acheni matusi, hakuna sheria yoyote inayokataza ushabiki nyie shabikieni muwezavyo ila sio hilo alilokuwa analifanya huyo mvulana mdogo. Wakamatwe wote watukanaji hata kama ni timu magufuli.
 
Ok lets wait and see hehehe
 
Ahsante sana kaka mkubwa...huyu mtoto hakikisheni anafungwa,na teamkiba wote wanaotukana wakamatwe...

Huyu dogo alikuwa analipwa pesa na wasanii uchwara waliofeli kimaisha...huyu kijana musimuonee huruma,anatakiwa ashitakiwe kabisa
 
We unadandia gari kwa mbele tatizo hii mada imeanza Instagram sio jf fuatilia ujue chanzo kwanza usikurupuke tatizo la wa tz tuna kurupuka Kama issue ya scorpion kila MTU alijua scorpion Ana makosa mwisho wa siku kumbe ni virse vesa find the source
Wakisema most of timu kiba ni mental case unadhani huwa wanakosea? Hebu soma ulichokiandika hapo.
 
Unatutisha au [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana acheni matusi, hakuna sheria yoyote inayokataza ushabiki nyie shabikieni muwezavyo ila sio hilo alilokuwa analifanya huyo mvulana mdogo. Wakamatwe wote watukanaji hata kama ni timu magufuli.
Anavotetewa utafkiri kuna jambo la kishujaaa kafanya chaaaaa
 
Ahsante sana kaka mkubwa...huyu mtoto hakikisheni anafungwa,na teamkiba wote wanaotukana wakamatwe...

Huyu dogo alikuwa analipwa pesa na wasanii uchwara waliofeli kimaisha...huyu kijana musimuonee huruma,anatakiwa ashitakiwe kabisa
I concur, mi sidhani kama kiba na management yake wanahusika na chochote katika hili, nadhani ni failures ndio waliokuwa wakimtumia huyu kijana. Time will tell
Insta kuna watu wanatukana wala hawajatumwa na yeyote ila kuna wengine wanatumwa kabisa.
 
We unadandia gari kwa mbele tatizo hii mada imeanza Instagram sio jf fuatilia ujue chanzo kwanza usikurupuke tatizo la wa tz tuna kurupuka Kama issue ya scorpion kila MTU alijua scorpion Ana makosa mwisho wa siku kumbe ni virse vesa find the source
Kwa hiyo hata alivyochambua hizo ambazo yeye anadai ni 'ingredients' za hiyo perfume ya domo yupo sahihi sio.
Acha kuwaza kiteam team wee kipwito.
 
Na mbaya zaidi kaingia hadi kwenye biashara! Watu wame-invest millions of T Shillings... wapo kwenye process za ku-launch product, mtu anaingia Instagram kutaka kusababisha damage kwenye biashara husika.
 
Nimesoma post yake ya kuhusu perfume ya Chibu daaah, huyu dogo ana laana kwa kweli. Maana kwa akili za kawaida huwezi kutukana namna hiyo.
 
aisee...fanya basi kuungana na wengine kama kina wema,shilole,kifesi,mond.sallam na wengineo n hakikisheni mnamuwajibisha..na waliokuwa wanamtuma nao wahusike na wawajibishwe...tena muwaanike kama mlivomwanika huyu..
mkimwadabisha huyu wengine walobaki watanyooka.heshima itarudi.
 
Na mbaya zaidi kaingia hadi kwenye biashara! Watu wame-invest millions of T Shillings... wapo kwenye process za ku-launch product, mtu anaingia Instagram kutaka kusababisha damage kwenye biashara husika.
Nafikiri hicho ndicho kilichommaliza. Elimu inahitajika sana kwenye hii nchi.
 
Mkuu tatizo Management ya Alikiba ilikuwa inawasiliana na shilolekiuno..mfano Kibadude,shilolekiuno alishawahi kuposti chat zake na Kibadude huko instagram akimshukuru kwa Kazi anayoifanya..mara baada ya kurudishwa kwa ile tuzo,baada ya dakika kadhaa zile posti akazifuta shilolekiuno..nahisi management ilimwambia afute..

Kuna mtu mwingine anaitwa Kiepe_nyani huko instagram...hana tofauti na shilolekiuno,anamatusi mfano hakuna ijapokuwa leo amefuta matusi yote baada ya kusikia mwenzie amekamatwa...huyu kiepe nyani anafahamiana sana na Allykiba,na ameshapiga picha nyingi tu Ali,kuna mwingine anaitwa Kibelamwana,hawa wote alikiba anawafahamu kabisa na anajua wanachokifanya ila hakuna siku aliwakataza kutusi watu..
 
Nafikiri hicho ndicho kilichommaliza. Elimu inahitajika sana kwenye hii nchi.
Nami naamini ndicho hasa kimewafanya wamfungie kazi... haya matusi mengine watu washayazoea na kuyapuuza lakini unapoingia hadi kwenye kutaka kuleta damage kwenye biashara; hakuna atakayekuacha... ndo maana Waswahili wanasema cheza na mwenye mali lakini usicheze na mali yake!
 
Majina ya Instagram [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Sijui hiyo imekaaje lakini for what I know, back in days baada ya diamond kukosa tuzo ya BET baadhi ya mashabiki walivamia account ya black coffee na kuanza kutukana, kuna msg ililetwa kwenye groups za WCB ikitoka kwenye uongozi wa Diamond kuwataka mashabiki waache kutukana na sio mara moja ni mara nyingi sana hili huwa linatokea, mashabiki wakipanick uongozi unatoa onyo jamani acheni matusi, lakini je matusi yamekoma? Nataka kusema hivi kumkataza mtu kutukana ni jambo moja na mtu huyo kuacha kutukana ni jambo lingine, kwahiyo hao unaodai wanafahamiana na kiba inawezekana alishawakataza kutukana lakini tukumbuke kila mtu anamiliki simu yake na bundle lake na anaweza kupost chochote muda wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…