Mkuu tatizo Management ya Alikiba ilikuwa inawasiliana na shilolekiuno..mfano Kibadude,shilolekiuno alishawahi kuposti chat zake na Kibadude huko instagram akimshukuru kwa Kazi anayoifanya..mara baada ya kurudishwa kwa ile tuzo,baada ya dakika kadhaa zile posti akazifuta shilolekiuno..nahisi management ilimwambia afute..
Kuna mtu mwingine anaitwa Kiepe_nyani huko instagram...hana tofauti na shilolekiuno,anamatusi mfano hakuna ijapokuwa leo amefuta matusi yote baada ya kusikia mwenzie amekamatwa...huyu kiepe nyani anafahamiana sana na Allykiba,na ameshapiga picha nyingi tu Ali,kuna mwingine anaitwa Kibelamwana,hawa wote alikiba anawafahamu kabisa na anajua wanachokifanya ila hakuna siku aliwakataza kutusi watu..