Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kwa matusi aliyoporomosha kwenye post yake ya mwisho kabla hajakamatwa lazma usisimkwe....kamtukana kila anayejihusisha na mond....wazazi ndugu hadi mfagiaji....anavuna alichopanda
 
Baada ya kuona video ya hiyo kijana N imemuonea huruma . ni mtoto mdogo na anatilisha huruma.ingawa yale matusi ni mwisho
 
Tatizo Mange haishi Bongo, kama kapata uraia wa USA ni ngumu kweli kumkamta raia wao na kumleta Bongo kujibu mashitaka, hasa kwa makosa ya matusi mtandaoni. Ila ipo siku atajichanganya kuja bongo watamdaka.
Kukosoa utendaji wa serikali inayoboronga inatafsiriwa ni matusi???
 
Acheni kutudanganya please,haya mambo tunafuatilia kwa undani,wewe mleta uzi ndo unatakiwa kukamatwa kwa kudanganya uma![emoji116] [emoji17] [emoji17] [emoji17]
Eatv walienda kuuliza jina gani? Unajua jina lake la kiserekali?
Tcra na police wametoka kumuhoji mwanamuzi shilole kama ana uhusiano wowote , shilole na yeye kamfungulia mashtaka kutumia jina lake vibaya
 
Kwa io tusijadili maendeleo leo tujadili uyu anayejiita shilole kiuno dah Tanzania ya viwanda
 
Unatutisha au [emoji23] [emoji23] [emoji23] vijana acheni matusi, hakuna sheria yoyote inayokataza ushabiki nyie shabikieni muwezavyo ila sio hilo alilokuwa analifanya huyo mvulana mdogo. Wakamatwe wote watukanaji hata kama ni timu magufuli.
Sema huyu dogo kazingua wenzake wote wanaficha sura zao yeye alitaka sifa mbona dengue na dougiemasta wanatukana lakini wanapeta
 
Kukosoa utendaji wa serikali inayoboronga inatafsiriwa ni matusi???
Mkuu sizungumzii kukosoa serikali bali nazungumzia jinsi anavyo shambulia hata watu wengine matusi kama yule mama naniino.
 
Ok lets wait and see hehehe
Haha kiongozi wa team kiba ni dengue homa ya jiji ukimkamata yule hakuna kazi ila ni mjanja Sana hata huyo shilole alikuwa anamuiga dengue kutukana
 
Hii like ya ommydimpoz kwa hii post ya shilole ndo sikuielewa
 

Attachments

  • Screenshot_20161118-190253.png
    Screenshot_20161118-190253.png
    227.4 KB · Views: 49
Back
Top Bottom