Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Kiongozi wa team kiba instagram akamatwa, anaejiita shilolekiuono

Hizi team zitatuua jamani unamtukana diamond mwenzio ananunua nyumba South Africa unamtukana kiba ndo kwanza Sony wanamtafuta wampe mihela we unabaki "team simbaaaaaa" simba gani daily unakula makande!!!utaskia mwingine "team kingiiiiiii" unajiita King na hujawahi kuwa hata monita wa darasa shule ya msingi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku mwema!!
 
yani mimi ni team mwenyewe.....ila ningefikiria kuwa na teama basi ingekua team diamond mana kwa kautafiti kangu kadogo teamkiba wanakuaga na matusi sana
 
1479501417995.png
mmmmnnh sudy ndo yuko hivi
1479501455535.png
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] usiku mwema!!
Unalalaje wakati bro analiw na mbu jela[emoji26] [emoji26] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Uyoo sio yeye..nmeona post flan akihusishwa kukamatwa kwake kwny sehm ya moment katoa matus km buku hiv af mapya yoteeee... Uyo sio mshkaj,Ni mdada flan alopinda sana..uyo dogo sio muhusika WA ac iyoo
 
Uyoo sio yeye..nmeona post flan akihusishwa kukamatwa kwake kwny sehm ya moment katoa matus km buku hiv af mapya yoteeee... Uyo sio mshkaj,Ni mdada flan alopinda sana
[emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoshaaa....!!
 
Ndo ujue hizi timu zinapewa support na wasanii wenyewe sasa dai kachelewa kumu unfollow wanakimbilia kulaumu timu moja ili waonekane wema sana
Hapa ndipo style ya kiba kuwa na zero kwenye kufollow watu inapoonekana ya maana.....
 
Msukuma huku ndo dar kwenyew ukitoka utaenda wapi
 
Nilikutana na post zake insta, kama mnavyojua ukiwa hauja mfollow mtu ukabonyeza ka sechi kale, zinakuja posts za watu walioachia ziwe public.

Kwa kweli nilibaki mataaaa kwa maneno niliyojikuta nasoma, na hata kumfollow sikutamani.

Nami nilifikiri ni mwanamke kumbe duh
 
Ndo maana mziki wetu hauendelei hivi wasanii wengi wakifanikiwa kuna shida, a focus na mtu wake tu mpanga riziki ni Mungu, tu Mara awe back stage sijui afatiliwe hichi sasa na kufatilia ya timu kiba na kuacha timu mond ina maana gani?
Naona huna timu!
Na la ziada hunijui sikujui mwanzo wa mimi kuwa na shaka na mtazamo wako ni hiyo comnent yako.
Na ulivyo hujielewi unadai huna timu
Kwahyo mkuu wewe ni timu gani mana sina timu yoyote Mimi. Maana mnaojidai mnatimu hamna mbele wala nyuma mnategemea kutukana huko insta mpate followers ili mtangaze vijibiashara uchwara
 
Naona huna timu!
Na la ziada hunijui sikujui mwanzo wa mimi kuwa na shaka na mtazamo wako ni hiyo comnent yako.
Na ulivyo hujielewi unadai huna timu
Ngoja tu nikuache muelewa unayejipeleka chaka mwenyewe kwa kuongozwa na hisia
 
Back
Top Bottom