LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
kama aliwahi kuoa hana sifa ya kuwa team kataa ndoaInasemwa kuwa alioa na waliachana na mkewe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kama aliwahi kuoa hana sifa ya kuwa team kataa ndoaInasemwa kuwa alioa na waliachana na mkewe.
kama una uwezo wa kuwalisha ndugu kwa nini ukatae kuishi na ndugu?Asilimia kubwa ya kataa ndoa wana vinasaba vya uchoyo pia. Kukaa na ndugu pia wanaona gharama, mwisho wa siku ndio kufa kibudu.
Fikra na ukarimu wa binadamu unatofautiana chief.kama una uwezo wa kuwalisha ndugu kwa nini ukatae kuishi na ndugu?
KivipiAlikuwa bado anajitafuta huyu
Kataa ndoa huyo... Angekua na mke huenda tatizo lililopelekea kifo chake lingetatuliwa haraka sanaIna maana anaishi peke yake? Hainihusu lkn ningependa tu kujua. R. I . P
Waulize nzi waliowahi kufika chumbani kwake.Ina maana anaishi peke yake? Hainihusu lkn ningependa tu kujua. R. I . P
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake.
Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja wake kwenda nyumbani kwake kufuatilia kwa nini haudhurii kesi yake mahakamani.
"Alilala, hakuonekana mpaka mteja wake amekuja mahakamani hamuoni... ndio akaamua kwenda nyumbani kufika akafanikiwa kusukuma geti, kuingia eneo la ndani akakuta kuna inzi...yaani kuna ‘movement’ ya inzi nyingi kwenye dirisha hali ambayo ilimshtua ikabidi awashirikishe majirani," amesema.
Amesema baada ya majirani kuona hali hiyo wakaamua kuvunja mlango na kumkuta amefariki na mwili umeharibika.
Kwa mujibu wa kaka yake, Laurent Seth mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera mjini Bukoba, wakisubiri kufanyiwa uchunguzi ili kujua chanzo cha kifo chake.
POle sana Mwamba.Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Mkoa wa Kagera, Seth Niyikiza amefariki dunia akiwa kajifungia ndani mwake.
Akithibitisha tukio hilo leo Jumatano Februari 26, 2025 Kamanda wa Polisi mkoani humo, Brasius Chatanda amesema mwili wa wakili huyo ulibainika baada ya mteja wake kwenda nyumbani kwake kufuatilia kwa nini haudhurii kesi yake mahakamani.
"Alilala, hakuonekana mpaka mteja wake amekuja mahakamani hamuoni... ndio akaamua kwenda nyumbani kufika akafanikiwa kusukuma geti, kuingia eneo la ndani akakuta kuna inzi...yaani kuna ‘movement’ ya inzi nyingi kwenye dirisha hali ambayo ilimshtua ikabidi awashirikishe majirani," amesema.
Amesema baada ya majirani kuona hali hiyo wakaamua kuvunja mlango na kumkuta amefariki na mwili umeharibika.
Kwa mujibu wa kaka yake, Laurent Seth mwili wa marehemu umehifadhiwa katika Hospitali ya Mkoa wa Kagera mjini Bukoba, wakisubiri kufanyiwa uchunguzi ili kujua chanzo cha kifo chake.
AnakeraWewe jamaa na mastori yako yasiyo na kichwa wala miguu ya Mkwe wake sjui nn unatukela