Kiongozi wa upinzani Kenya apimwa corona, yaani mwendo wa kupima kila mtu

Mk254 kwani haujui kama kenya mpo kwenye majaribio ya chanjo ya corona??, sasa utajaribu vipi chanjo bila kufanyiwa infection na nyie hamstuki mnapelekwa tu, hebu usituchoshe mpo kwenye biashara za watu mnatumiwa kwa majaribio
 
Duh!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu hii inaonesha ni jinsi gani sasa unatafuta amani ya roho yako na ndugu zako,hiyo ni furahisha kijiwe tu.

Nashangaa umeamua kujihifadhi hapo.
 
Hata mimo naweza kusema niliwahi kumnyoa nywele uhuru,ila ukweli wa swala hilo unabaki kwangu ma uhuru,awepo wa kukubali au kukataa haijalishi.
 
Superpower, nice joke.
kudos to Kenyans.

that's why you'll always remain a superpower in EA until and unless we in TZ start stuffing our state house with the occupants who truly deserve the office.
 
kudos to Kenyans.

that's why you'll always remain a superpower in EA until and unless we in TZ start stuffing our state house with the occupants who truly deserve the office.
Kumbe maneno kama 'superpower' pamoja na kuyasikia kila siku bado yanatupiga chenga😆😆
 
Ndo vizur mtuwakilishe tunaeategemea ila huku bongo mpaka ligi zinaendelea na mkenya mwenzako Kahata anafurahua neema ya mh Magufuli ya kutoweka lockdown
 
Hivi huko hamjifukizi aka nyungu? Kuna mahali katika EA kupima hawataki, kutangaza hawataki na wanakufa kimyakimya.
Wanaamini katika dawa ya Madagascar tuu na nyungu.
Kwani wanaoamini ktk kupima ndio Wana nafuu?, au unawaza kwa kutumia Ile kitu mutu anatumia kukalia ?
 
Hata mimo naweza kusema niliwahi kumnyoa nywele uhuru,ila ukweli wa swala hilo unabaki kwangu ma uhuru,awepo wa kukubali au kukataa haijalishi.
Mtetee ndugai, huenda wana ccm mkapunguziwa gharama ya maisha halafu wapinzani wakabakia pale pale kw msoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…