Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

Kiongozi wa Upinzani Nchini Urusi, Alexei Navalny akimbizwa Hospitali baada ya kuwekewa sumu kwenye chai

Ni hatari sana kuwa Warusi kuwa mpinzani wa Putin.
Demokrasia na uhru ni tunu za kupigania na kulindwa kwa gharama yoyote.
Anaitwa Boris nemtsov alikuwa mpinzani mkubwa sana wa bwana Putin.alifanyiwa mauwaji katika daraja la kremlin(karibu kabisa na Ikulu ya Urusi).
Masaa ma 4 kabla ya kifo chake alifanya interview na kituo cha habari,aliongea mambo mazito sana kuhusu Putin.
 
Back
Top Bottom