Anaitwa Boris nemtsov alikuwa mpinzani mkubwa sana wa bwana Putin.alifanyiwa mauwaji katika daraja la kremlin(karibu kabisa na Ikulu ya Urusi).
Masaa ma 4 kabla ya kifo chake alifanya interview na kituo cha habari,aliongea mambo mazito sana kuhusu Putin.