Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Radio mbao ilimnukuu huyo kiongozi mpya kwamba amesema anataka kuendelea na mapigano hadi aiteke Yerusalemu.Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.
Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.
Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.
. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.
Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.
Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.
Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.
Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Kachagua njia njema,tunaomba Marekani umsameheKiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.
Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.
Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.
. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.
Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.
Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.
Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.
Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
USA wajanja sana wao ndio wamemweka na waliweka makubaliano kabla sahivi mwamba anachagua hadi cnn ndio ichukue live coverage yake..yaani hapo USA itasema inamtazamia baada ya muda wanamalizana.Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.
Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.
Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.
. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.
Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.
Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.
Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.
Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Hathubutu ameanza kujikomba mapema sana kwa USARadio mbao ilimnukuu huyo kiongozi mpya kwamba amesema anataka kuendelea na mapigano hadi aiteke Yerusalemu.
Hii dini ya kishenzi sanaMbona unatumia Facebook, Instagram, Samsung zote za makafiri( according to you)
Waislam wengi mna matatizo, hamuwezi ku coexist na imani nyingine...
Huyu jamaa ni smart sana, Hautaki Ujihadist muda mrefu tu, Alipotoka Iraq, alikosana na Abu Bakr baada ya kulitenga kundi lake la Al Nusra na ISIS,Cha msingi ashirikiane na marekani ataongoza vizuri bila wasi wasi na kupewa sapoti zote.
Afe kwa ajili ya nini?Huyo Ni CIA hana muda atakufa na alipangwa kuongoza kashaandaliwa kitambo!
Mwambie hata mtandao huu anaotumia haumfai.Mbona unatumia Facebook, Instagram, Samsung zote za makafiri( according to you)
Waislam wengi mna matatizo, hamuwezi ku coexist na imani nyingine...
Muandaaji wa makundi ya kigaidi ni marekani baba wa magaidi!Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.
Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.
Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.
. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.
Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.
“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.
Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.
Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.
Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.
Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
CCM kama wanataka kuendelea kutawala wakomeshe utekaji.Watanzania tunalakujifunza.Ccm inatakiwa itolewe Kwa mtutu maana njia ya amani hawataki
Kazi yake imeisha akiachwa atanogewa na kuharibu!Afe kwa ajili ya nini?
Watanzania wanaongozwa na unafiki, wivu, majungu na hakuna umoja Wala upendo achilia watu kwa watu hata ndugu kwa ndugu Ni mwendo wa maslay binafsi mbele kwa mbele ndani ya chama la Wana CCM wakuitoa hawajazaliwa!Watanzania tunalakujifunza.Ccm inatakiwa itolewe Kwa mtutu maana njia ya amani hawataki
Wameamua kufanya bana ubaya ubwelaRadio mbao ilimnukuu huyo kiongozi mpya kwamba amesema anataka kuendelea na mapigano hadi aiteke Yerusalemu.
Mwislamu wa Buza umampangia Mwislamu original cha kusema??Jolan ima achague uislam au achague ukafri
Ndugu zangu waislam tumtenge huyu sio wa Allah
Kwanni atumie CNN ya mayahud na makafiri?
Inshallah
Mbona Saudi wanasoma hicho hicho kitabu na still ndiyo marafiki wakubwa wa USA na United Kingdom??Hapo anaongea tu ila akiingia masjid akafungua kile kitabu Cha kusoma kutoka kulia kwenda kushoto ndio fahamu zitakapomrudia na kuona bikra 72 ni Bora kuliko chochote.