Kiongozi wa Waasi Syria Ahutubia Ulimwengu, Atuma Ujumbe Mahsusi kwa Iran, Atumia CNN, Na Siyo TV za Nchi za Kiarabu

Syria kwa hotuba hiyo imebatizwa kuelekea ulimwengu wa kistaarabu. Naona makundi ya kigaidi yakiongozwa na mfadhili wao Mkuu Iran yatakuwa yamepata pigo kubwa.
 
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.

Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.

Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.

. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.

Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.

“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.

Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.

Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.

Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.

Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Radio mbao ilimnukuu huyo kiongozi mpya kwamba amesema anataka kuendelea na mapigano hadi aiteke Yerusalemu.
 
Kachagua njia njema,tunaomba Marekani umsamehe
 
USA wajanja sana wao ndio wamemweka na waliweka makubaliano kabla sahivi mwamba anachagua hadi cnn ndio ichukue live coverage yake..yaani hapo USA itasema inamtazamia baada ya muda wanamalizana.
Kila kitu kinaonekana kilipagwa kwa ustadi mkubwa sana..

Russia na iran wamepigwa pigo kubwa sana hili
 
Huyo Kiongozi Mpya wa Syria ni kama huyu Agent. Mr FAFO.
aPA6bXg_460s.jpg
 
Huyo Ni CIA hana muda atakufa na alipangwa kuongoza kashaandaliwa kitambo!
 
Cha msingi ashirikiane na marekani ataongoza vizuri bila wasi wasi na kupewa sapoti zote.
Huyu jamaa ni smart sana, Hautaki Ujihadist muda mrefu tu, Alipotoka Iraq, alikosana na Abu Bakr baada ya kulitenga kundi lake la Al Nusra na ISIS,
Kuna muda ana adopt mambo ya ujihadi ili kuwa please wafuasi wake tu, lakini hayuko huko.
 
Mbona unatumia Facebook, Instagram, Samsung zote za makafiri( according to you)
Waislam wengi mna matatizo, hamuwezi ku coexist na imani nyingine...
Mwambie hata mtandao huu anaotumia haumfai.
 
Kiongozi mkuu wa Waasi, bwana Abu Jolani ametoa hotuba ambayo imetafsiriwa ililenga zaidi kuuambia Ulimwengu ni nini anakusudia kwa Taifa la Syria. Ameitolea hotuba yake ndani ya msikiti mkuu wa kale zaidi, msikiti wa Ummayad.

Aliichagua CNN kuirusha hotuba yake live, wachunguzi wa mambo wakidai kuwa aliulenga Ulimwengu, hasa nchi ya Iran, Marekani na Israel.

Kwa Iran, ujumbe wake upo wazi na umenyoka, kuwa Iran itambue kuwa Syria haitatumika tena kama nchi ya kuendeleza matakwa yake ya kuyajenga makundi ya kigaidi kama Hezbollah.

. “This new triumph, my brothers, marks a new chapter in the history of the region, a history fraught with dangers (that left) Syria as a playground for Iranian ambitions, spreading sectarianism, stirring corruption,” he said.

Lakini kwa upande mwingine alitaka kupeleka ujumbe kwa Marekani ambayo ilikuwa imetenga zawadi ya Dola 10 milioni kwa yeyote atakayesaidia kupatikana kwa yeye Abu Jolani alipokuwa mpiganaji wa Al Qaeda. Ni dhahiri anataka Marekani na Israel imwondoe kwenye orodha ya magaidi wanaotafutwa, kwa vile yeye ni mtu mstaarabu atakayeiongoza Syria kuelekea kwenye ustaarabu.

“Syria is being purified,” he said, referring to the country’s regional reputation as a narco-state, saying Assad’s Syria had “become the world’s leading source of Captagon,”.

Hotuba yake ilifuatiliwa na Rais Biden, ambaye baadaye ameeleza kuwa hotuba hiyo ni nzuri, lakini itabudi kusubiria matendo.

Speaking a few hours later, Biden said he had heard Jolani “saying the right things,” but insisted the rebel leader be judged by his actions.

Siku kadhaa zilizopita, Jolani akihojiwa na CNN alisema kuwa aliamua kujitenga na makundi ya wapiganaji wa Al Qaeda, kwa sababu hakuafiki kabisa matendo yao ya ukatili.

Tumwombee Abu Jolani na wenzake watakaounda Serikali, waipeleke Syria kwenye mwanga na amani. Syria ipo kwenye nafasi nzuri ya kukomesha makundi ya kigaidi ya Iran, kwani Iran haiwezi kuwafikishia silaha makundi ya kigaidi kama Hezbollah nchini Lebanon, bila ya kupitia nchini Syria.
Muandaaji wa makundi ya kigaidi ni marekani baba wa magaidi!
 
naomba afanye yote,ila bekeni ,pork iruhusuwe tuitafune pasipo ubishi
 
Watanzania tunalakujifunza.Ccm inatakiwa itolewe Kwa mtutu maana njia ya amani hawataki
Watanzania wanaongozwa na unafiki, wivu, majungu na hakuna umoja Wala upendo achilia watu kwa watu hata ndugu kwa ndugu Ni mwendo wa maslay binafsi mbele kwa mbele ndani ya chama la Wana CCM wakuitoa hawajazaliwa!
 
Taliban hails Islamist victory in Syria
The government in Kabul has welcomed the fall of Damascus to opposition forces

The Taliban government in Afghanistan has congratulated the coalition of armed opposition groups that seized Damascus, Syria, toppling President Bashar Assad.

A loose collection of fighters led by the Islamist group Hayat Tahrir al-Sham (HTS) launched a surprise offensive late last month and quickly overran most of the territory held by government forces. The offensive culminated in the capture of the Syrian capital on Sunday.

Although HTS is listed as a terrorist organization by the UN and US, the group has promised to protect Syria’s religious minorities, including Christians.

Afghanistan’s Foreign Ministry released a statement on Sunday, congratulating “the leadership of Hayat Tahrir al-Sham (HTS) movement and the people of Syria on the recent advancements resulting in the removal of the factor of conflict and instability, and the fall of the capital Damascus.”

“We express hope that the remaining phases of the revolution will be managed in a way that secures a peaceful, unified and stable system,” the statement read.
 
Hapo anaongea tu ila akiingia masjid akafungua kile kitabu Cha kusoma kutoka kulia kwenda kushoto ndio fahamu zitakapomrudia na kuona bikra 72 ni Bora kuliko chochote.
Mbona Saudi wanasoma hicho hicho kitabu na still ndiyo marafiki wakubwa wa USA na United Kingdom??
 
Back
Top Bottom