Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao.Wavaa misalaba watabisha
Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao. Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
Hakuna umuhimu wowote wa hiyo kambi ikiwa haitaathiri usalama wa IsraelWavaa misalaba watabisha
Kwa kukusaidia tu alqaeda sijui isis cjui ushenzi gan ni project za west kuwatawala waislamu. Hao watu wengi wanatumwa na hao west kwa maslah yao.Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Kijana wa 1982!Abu Julani nimemkubali sana, halafu kijana mdogo tu.
Ana mipango na utulivu, hatuoni akiua watu wala machafuko kama mapinduzi mengine.
Unatoa msaada ambao wewe ndio unauhitaji zaidi, huna cha kuniambia kuhusu hayo makundi nayajua deep.Kwa kukusaidia tu alqaeda sijui isis cjui ushenzi gan ni project za west kuwatawala waislamu. Hao watu wengi wanatumwa na hao west kwa maslah yao.
Unavo badilika kama kinyonga sasa yaani we ni wa kuangalia upepo ume eelekea wap una ufuata juzi ulikua kwa Asad leo kwa julan 🤣🤣Abu Julani nimemkubali sana, halafu kijana mdogo tu.
Ana mipango na utulivu, hatuoni akiua watu wala machafuko kama mapinduzi mengine.
Nilibebwa na mihemuko, nilipotulia nikafanya homework vizuri ndio natoa credit where it's due, Abu katisha.Unavo badilika kama kinyonga sasa yaani we ni wa kuangalia upepo ume eelekea wap una ufuata juzi ulikua kwa Asad leo kwa julan 🤣🤣
Wacha weeee,mchambuzi wa masuala ya kimataifa kutoka Nachingwea Lindi.Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao. Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
Hawana hiyo Nguvu, kwani hawako peke yao wanaoishikilia nchi . Kuna makundi mengine ambayo yanashikilia pia maeneo mengine ya nchi. Ndio maana lazima waelewane kwanza.Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Mbona hata Hizbullah wamechukua udhibiti wa wa miji yote ya mpakani kati ya Syria na Lebanon baada ya serikali kujiondoa?Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao. Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.
Wakigeuka wanachukua kipigo kama ilivyokua kwa hamas na Hezbollah vibaraka wa Iran. Ndio maana ya IDF wamechukua maeneo ya kimkakati kwenye mpaka wa Syria na IsraeliNyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Kijana wa kitanzania wa 1982 utakuta bado ana akili za kubet na kuwaza ngono, wstanzania tunachelewa kukomaa kia akili, sijui vya kula au mazingira?Kijana wa 1982!
Anaonekana anajielewa.
Unafikiri amejiweka pale? Maelekezo yataanza either kutoewa au kufuatwa muda ukifika. Kwa sasa endeleeni kuona na kujadiliana kupitia 'Chambuzi' zenu.Nilibebwa na mihemuko, nilipotulia nikafanya homework vizuri ndio natoa credit where it's due, Abu katisha.
Kwa kukusaidia tu alqaeda sijui isis cjui ushenzi gan ni project za west kuwatawala waislamu. Hao watu wengi wanatumwa na hao west kwa maslah yao.
Wakigeuka wanachukua kipigo kama ilivyokua kwa hamas na Hezbollah vibaraka wa Iran. Ndio maana ya IDF wamechukua maeneo ya kimkakati kwenye mpaka wa Syria na Israeli
Kwa hiyo huenda ikawa ni Assad huyohuyo ndiye kajipindua? Hii itakuwa ni njia nzuri ya kumpa kijiti umuaminiye.Mbona hata Hizbullah wamechukua udhibiti wa wa miji yote ya mpakani kati ya Syria na Lebanon baada ya serikali kujiondoa?
Walio ushambulia ubalozi wa Iran ni raia wa kawaida na sio waasi ,Iran ina uwekezaji wa viwanda kadhaa nchini Syria na mpaka sasa hakuna chochote kilicho guswa na waasi.
Wenda Asad amezungukwa na washirika wake wa karibu kabisa na ukitaka kujua hilo mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa serikali ya Asad au kijeshi aliye kamatwa na waasi.