Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
kama ni kweli.Mbona hata Hizbullah wamechukua udhibiti wa wa miji yote ya mpakani kati ya Syria na Lebanon baada ya serikali kujiondoa?
Walio ushambulia ubalozi wa Iran ni raia wa kawaida na sio waasi ,Iran ina uwekezaji wa viwanda kadhaa nchini Syria na mpaka sasa hakuna chochote kilicho guswa na waasi.
Wenda Asad amezungukwa na washirika wake wa karibu kabisa na ukitaka kujua hilo mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa serikali ya Asad au kijeshi aliye kamatwa na waasi.