Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 3,751
- 6,337
kama ni kweli.Mbona hata Hizbullah wamechukua udhibiti wa wa miji yote ya mpakani kati ya Syria na Lebanon baada ya serikali kujiondoa?
Walio ushambulia ubalozi wa Iran ni raia wa kawaida na sio waasi ,Iran ina uwekezaji wa viwanda kadhaa nchini Syria na mpaka sasa hakuna chochote kilicho guswa na waasi.
Wenda Asad amezungukwa na washirika wake wa karibu kabisa na ukitaka kujua hilo mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa serikali ya Asad au kijeshi aliye kamatwa na waasi.
Unavyodhani al qaeda na isis ni makundi ya nani kama si israel na usa!Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.
Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Miaka 42 huyu bado ni kijana? Hebu acheni masihara waTanzania.Kijana wa kitanzania wa 1982 utakuta bado ana akili za kubet na kuwaza ngono, wstanzania tunachelewa kukomaa kia akili, sijui vya kula au mazingira?
Mpe muda,huyo ni mzaliwa wa Golan, alikua na ISIS iraq, akaachana nao akajiunga alqaeda,cia wakamkamata,akapotea miezi,akaibuka na mtazamo tofauti na mwanzo,leo hts yake imekua powerful na kubeba nchi,mpe mudaAbu Julani nimemkubali sana, halafu kijana mdogo tu.
Ana mipango na utulivu, hatuoni akiua watu wala machafuko kama mapinduzi mengine.
Kubet hata ulaya watu wazima hubeti,baba yake iker casillas ni mbetiji mzuri,huko UK ndiyo usiseme,ngono ni mahitaji ya kibinadamKijana wa kitanzania wa 1982 utakuta bado ana akili za kubet na kuwaza ngono, wstanzania tunachelewa kukomaa kia akili, sijui vya kula au mazingira?
Muda si muda patakua na mgogoro na israel,ngoja wakae mguu sawa, muislam yoyote wa harakati hizo huichukia USA na israelWakigeuka wanachukua kipigo kama ilivyokua kwa hamas na Hezbollah vibaraka wa Iran. Ndio maana ya IDF wamechukua maeneo ya kimkakati kwenye mpaka wa Syria na Israeli
Cha msingi aliyekuwa anapewa support na kubwa la magaidi( Jamhuri ya Kiislamu ya Iran) na Hezbollah ameondoka.Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Urusi vimethibitisha kuwa Kiongozi wa waasi huko Syria baada ya majadiliano ya muda amekubaliana na serikali ya Urusi kuendelea kutekeleza majukumu yake nchini humo
Itakumbukwa kuwa Urusi ana Kambi mbili za kijeshi nchini Syria.
View attachment 3172710View attachment 3172711
Uzuri Israeli anakupokea jinsi unavyokuja na michezo yote ya Middle East anaijua vizuri sana. Ukija kwa shari anakutuliza kama alivyowatuliza akina Sinwar na genge lake la magaidiMuda si muda patakua na mgogoro na israel,ngoja wakae mguu sawa, muislam yoyote wa harakati hizo huichukia USA na israel
Watu hawana shida na wa Syria wenzao, Waislam wa suni hawataki kuiona Iran ikizid kutanuka kaka na ndio maana Israel inachofanya wanapewa taarifa zote za kijasusi na hao waarabu. We unafikiri Israel ingepata wapi taarifa ndani ya Lebanon kama sio watu ndani ya mfumo ya serikali inawapa.Mbona hata Hizbullah wamechukua udhibiti wa wa miji yote ya mpakani kati ya Syria na Lebanon baada ya serikali kujiondoa?
Walio ushambulia ubalozi wa Iran ni raia wa kawaida na sio waasi ,Iran ina uwekezaji wa viwanda kadhaa nchini Syria na mpaka sasa hakuna chochote kilicho guswa na waasi.
Wenda Asad amezungukwa na washirika wake wa karibu kabisa na ukitaka kujua hilo mpaka sasa hakuna kiongozi yeyote wa serikali ya Asad au kijeshi aliye kamatwa na waasi.
Hana lolote bila marekani,hata mwezi hatoboi bila congress kupitisha msaada bungeniUzuri Israeli anakupokea jinsi unavyokuja na michezo yote ya Middle East anaijua vizuri sana
Iran na vibaraka wake hawana ham na myahudiHana lolote bila marekani,hata mwezi hatoboi bila congress kupitisha msaada bungeni
Wamemuanika na kumuacha uchi, kwamba hana loloteIran na vibaraka wake hawana ham na myahudi
Wakigeuka wataitwa Terrorists na kushughulikiwa
Sasa hivi wanaitwa "opposition" 😄
Mmarekani wa kibaigwa.Majeshi ya Urusi yanatakiwa kuondoka Syria na yataondolewa kwa njia zozote zile au Syria igawanywe.
Wameanza kubondwa na USAHiyo ndio west wanakutumia wanavyotaka ilimradi maslahi yao yanatimia. Viwanda vya silaha vinazidi kutengeneza mabilioni ya dola.
It's too early, naona hata Pro Israel wamefurahi hawajui huyu ni threat kwa Israel kuliko hata Ayatollah!! Huyu ni literally ISIS na Al qaeda Graduate ni suala la muda tu atakua hatari kuliko Assad.Abu Julani nimemkubali sana, halafu kijana mdogo tu.
Ana mipango na utulivu, hatuoni akiua watu wala machafuko kama mapinduzi mengine.
Wakiwa backed na Russia kama alivyokua Assad miaka ya 2011-16 wataweza?Wakigeuka wanachukua kipigo kama ilivyokua kwa hamas na Hezbollah vibaraka wa Iran. Ndio maana ya IDF wamechukua maeneo ya kimkakati kwenye mpaka wa Syria na Israeli