Kiongozi wa waasi wa Syria asema Majeshi ya Urusi yataendelea kusalia nchini humo

Hiyo akili ya kugundua kuwa Russia Hana mpango wa kuwa kinyume na Israel hawajagundua ndiyo maana wanaipa sifa Russia lakini hawajiulizi kwanini akemei Wala kuwasidia watu wa palestina kuhusu Israel.
 
Russia anapoangalia maslahi yake je anaangalia na kujari uhai? Mbona anaumwa watu Ukraine?.
 
Nani kakwambia Gaza imetulizwa? Muda mfupi uliopita Lori la IDF lililokuwa na wanajeshi na mabomu kwaajili ya kubomoa majumba limekula Moto na kuteketea lote. Hasira za Israel zitawamalizikia watoto wanawake na wazee subiri utaona.
Utatunga sana
 
Sikia Russia atoangaika na Israel Wala huyo muangalia maslahi china Hana mpango na vita kabisaaaa Tena Kama Kuna nchi inaangalia kupata maslahi tu siyo hasara ni china. Labda uniambie north Korea.
 
This is a joke!! Yaani uturuki amtishie Russia? Hahahhaa si hao Kurds wangepewa Oreshnik waiteketeze Instanbul ndani ya wiki tu.
Kwa Ukraine mlikuja mbio siku tatu tu Russia ataimaliza. Leo inapanda miaka vita inaendelea
 
Nyie mnaowashabikia hawa waasi kwa kudhani watakuwa wema kwa Israel na West nawashangaa sana, mnajisahaulisha hawa walikuwa sehemu ya Al Qaeda.

Wakati wowote kitawaka, watawageuka hamtoamini!
Hawa wana mipango yao kabisa na mmojawapo ni kuiongoza Syria kama dola ya Kiislamu, hawa hawana tofauti na Taliban. Walichompindua Assad ni kumlalamikia anaongoza kwa neno la mtu mmoja halafu nchi ikawa mali ya familia, hivyo wao waasi wanataka kuongoza kama taasis lakini katika misingi ya Kiislamu
 
Hakuna gaidi yoyote anaeweza kuwasumbua wakubwa western and Russia or China cause kila kitu wanachokifanya wanapangiliwa na hao hao unafikiri pesa na silaha wanapata wapi kutwa wanashinda wanapigana wanazalisha sana ngapi!? Mm nitakuwa wa mwisho kuamini Osama alikuwa ni gaidi na kweli aliuwawa bali ni mipango yao tu ya kutaka dunia wapi ielekee! Osama eti alilipua world trade center na Pentagone Really!!!!!?🥲
 
Huzijui siasa za Mashariki ya kati. Kwani aliyempa teknolojia IRAN ni nani? Uhusiano wa Urusi na Iran uko vipi?

Ndugu yangu siasa za Mashariki ya kati ziache tu. Hushangai kuwa aliyekuwa Al-qaida na kutafutwa na marekani na kuahidi zawadi ya dola milioni 10 ataeleta kichwa chake leo ni shujaa. Ukiingia kichwa kichwa utaumia wewe.
By the way Golan height kwa muujibu wa Wa. Syria woye ni mali ya Syria, hata UN inatambua kuwa ni sehemu ya Syria - Kiongozi mpya naye anatambua hivyo.
Israel joto limepanda zaidi kwa mabadiliko hayo, ndio maana kapeleka Askari zaidi huko. Kwa sababu katika ahadi zao huko nyuma hawa, walikuwa na msimamo mkubwa sana kuliko Assad. Anza kuisoma Mashariki ya kati. Ngoma bado mbichi!
 
It's too early, naona hata Pro Israel wamefurahi hawajui huyu ni threat kwa Israel kuliko hata Ayatollah!! Huyu ni literally ISIS na Al qaeda Graduate ni suala la muda tu atakua hatari kuliko Assad.
Akigeuka si anafyatuliwa tu!..

Kwanza ujue sasa hivi Israel ana haribu miundombinu yote ya kijeshi iliyoachwa na Asad pale Syria, kwa hiyo huyo jamaa yenu itabidi aanze upya.
Na katika kuanza upya huko Israel atakuwa ndio muwekaji mkuu wa miundombinu mipya ya kijeshi huku yeye akiwa ndio controller mkuu.
 
Kwa hiyo huenda ikawa ni Assad huyohuyo ndiye kajipindua? Hii itakuwa ni njia nzuri ya kumpa kijiti umuaminiye.
Umeuelewa mchezo vizuri sana.
Mchezaji namba 1- Uturuki, 2 Urusi, 3- Assad na Jeshi lake. 4-Jolani (Mpinzani).
Wengine ni watazamaji tu. Iran kataarifiwa tu mchezo utavyokuwa.
Israel kashtukiziwa, haelewi kesho yake itakuwaje- anajiandaa kwa yote.
 
Unaota mchana. Wasyria wote wanaelewa kuwa Golan ni sehemu ya Syria. Je, Israel itaiachia? Vinginevyo mapambano bado yanaendelea
 
Ni Afrika tu ndio imezubaa kutotengeneza Slaa za ardhini na drones. Lakini nchi za wenzetu viwanda vya silaha ni nje nje tu. Wakubwa wamegawa sana teknolojia. Hawa waasi wenyewe walikuwa na kiwanda chao cha Silaha.
 
Iran alijibiwa kivipi wakati Iran ndio alijibu mashambulizi ya ubalozi wake? Tatizo la nyie Israel mnapenda play victim.
Sawa hakujibiwa inawezekana unaziba masikio makusudi. Maana Iran walikili Israel kushambulia wewe wa majitogwa unakataa utachekwa jukwaani humu.
 
Sawa hakujibiwa inawezekana unaziba masikio makusudi. Maana Iran walikili Israel kushambulia wewe wa majitogwa unakataa utachekwa jukwaani humu.
Acha utoto, Israel walipiga bomu ubalozi ambao kimsingi ni ardhi ya Iran kwahiyo ndio wakalipiza kwa makombora yale 200 na wao Israel ndio walioanzisha kulipuana kwahiyo usiseme eti Israel walilipiza sema wao ndio walianzisha ugomvi Iran akalipiza.

Msipende sympathy card
 
Anafyatuliwa? Mbona Assad mlimshindwa.... Urusi na Iran wakiingilia hao Israel watapita wapi? Wanaonea tu vikundi vidogo dogo ila nchi halisi hawawezi ipiga. Mbona walishindwa miaka 10 mpaka siku Russia na Iran zilipokaa pembeni!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…