Hiyo akili ya kugundua kuwa Russia Hana mpango wa kuwa kinyume na Israel hawajagundua ndiyo maana wanaipa sifa Russia lakini hawajiulizi kwanini akemei Wala kuwasidia watu wa palestina kuhusu Israel.Mbona hili lilijulikana. Ishu hapo ilikuwa ni Iran na hezbollah, hiv bado hujajua mpango halisi ninini mkuu? Ushasikia ubalozi wa urusi unavamiwa au chochote chao.
Niliwaambia mapema watu plan ni kuondoa mizizi ya iran na hezbollah. Hiv unajua Israel kashachukua maeneo tena ndani ya syria? Vita ni akili mura. Au hujiulizi kwanini Israel ilikuwa kila siku inashambulia syria lakin Russia kimya. Wakubwa hawatishan mzee wanaheshimiana ila wanadhalilishana tu.