Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi yanaendelea kukombolewa na wanajeshi wa Ukraine, kazi yote hiyo ilikua ya bure.

The head of the Wagner Group says Ukrainian forces have retaken part of a settlement north of Bakhmut.

Yevgeny Prigozhin said Kyiv's forces had retaken Berkhivka, calling it a "disgrace".

He urged leaders within Russia's military, including defence minister Sergei Shoigu and the chief of the general staff, Valery Gerasimov, to come to the front line, in a post on Telegram.

He said: "Come on, you can do it!

"And if you can't, you'll die heroes."

What happened in Bakhmut?

Prigozhin's mercenary group spearheaded the successful assault on the eastern city of Bakhmut last month after the longest battle of the war.

Wagner Group fighters then handed their positions over to Russian troops.

Not the first time Wagner boss has spoken out

Prigozhin has been outspoken in his criticism of Russia's military leadership in the past.

Before Wagner captured Bakhmut, the leader threatened to pull his forces out of the city - blaming Moscow for a lack of ammunition.

On Monday, the commander of Ukraine's ground forces said on Ukrainian forces continued "moving forward" near the city.

Oleksandr Syrskyi said Ukrainian forces were successful in destroying a Russian position near the city.
 
Huyo jamaa Aache mdomo. Shetan hana rafiki.
Mean while, raia wa Urusi akiangalia taarifa ya habari.
 
Attachments

  • 20230604_104231.jpg
    20230604_104231.jpg
    79.8 KB · Views: 4
Unapoanzisha vita bila sababu ya msingi watoto kama Hawa wanakuwa sehemu ya wahanga.Shame on Putin!!
Little Solomiya is feeling safe in the hands of the Commander in Chief of the Armed Forces of Ukraine Valeriy Zaluzhnyy 💙💛

Photos: polinanana1322
FB_IMG_1685983001801.jpg
 
Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi yanaendelea kukombolewa na wanajeshi wa Ukraine, kazi yote hiyo ilikua ya bure.

The head of the Wagner Group says Ukrainian forces have retaken part of a settlement north of Bakhmut.

Yevgeny Prigozhin said Kyiv's forces had retaken Berkhivka, calling it a "disgrace".

He urged leaders within Russia's military, including defence minister Sergei Shoigu and the chief of the general staff, Valery Gerasimov, to come to the front line, in a post on Telegram.

He said: "Come on, you can do it!

"And if you can't, you'll die heroes."

What happened in Bakhmut?

Prigozhin's mercenary group spearheaded the successful assault on the eastern city of Bakhmut last month after the longest battle of the war.

Wagner Group fighters then handed their positions over to Russian troops.

Not the first time Wagner boss has spoken out

Prigozhin has been outspoken in his criticism of Russia's military leadership in the past.

Before Wagner captured Bakhmut, the leader threatened to pull his forces out of the city - blaming Moscow for a lack of ammunition.

On Monday, the commander of Ukraine's ground forces said on Ukrainian forces continued "moving forward" near the city.

Oleksandr Syrskyi said Ukrainian forces were successful in destroying a Russian position near the city.
Kumbe umeshakubali kuwa walichukua bakhmut?
 
Unapoanzisha vita bila sababu ya msingi watoto kama Hawa wanakuwa sehemu ya wahanga.Shame on Putin!!
Little Solomiya is feeling safe in the hands of the Commander in Chief of the Armed Forces of Ukraine Valeriy Zaluzhnyy [emoji170][emoji169]

Photos: polinanana1322View attachment 2647166
Wewe unaakili kweli?yaani taifa kama urusi isijue sababu ya kuingia vitani?bora unyamaze usijiaibishe
 
Leo sheikh haujaandika insha, ofcourse kuna maeneo walichukua humo Bakhmut, haingewezekana wafe vyote hivyo bila kuiba kipande cha ardhi, hata hivyo vinawatoka puani.
Jeshi lenu linaendeleaje huko Somalia na Congo DRC mbona unakuwaga obsessed na habari za Putin na jeshi lake lakini hutupatii updates za KDF huko Somalia na Congo DRC.
 
Unapoanzisha vita bila sababu ya msingi watoto kama Hawa wanakuwa sehemu ya wahanga.Shame on Putin!!
Little Solomiya is feeling safe in the hands of the Commander in Chief of the Armed Forces of Ukraine Valeriy Zaluzhnyy 💙💛

Photos: polinanana1322View attachment 2647166
When was this picture taken?? Is the man still alive!!

Sijui ranks za jeshi la Ukraine likoje lakini commander in chief anapashwa kuwa Raisi wa Taifa.
 
Jeshi lenu linaendeleaje huko Somalia na Congo DRC mbona unakuwaga obsessed na habari za Putin na jeshi lake lakini hutupatii updates za KDF huko Somalia na Congo DRC.

Somalia isikupe tabu wanawahishwa kwa wale mabikira zenu, nenda kajiunge mashababi pia ufe upate mabikira 72.
 
Back
Top Bottom