Kiongozi wa Wagner apatwa na hasira baada ya Ukraine kuendelea kurejesha ardhi ya Bakhmut

Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi yanaendelea kukombolewa na wanajeshi wa Ukraine, kazi yote hiyo ilikua ya bure.

The head of the Wagner Group says Ukrainian forces have retaken part of a settlement north of Bakhmut.

Yevgeny Prigozhin said Kyiv's forces had retaken Berkhivka, calling it a "disgrace".

He urged leaders within Russia's military, including defence minister Sergei Shoigu and the chief of the general staff, Valery Gerasimov, to come to the front line, in a post on Telegram.

He said: "Come on, you can do it!

"And if you can't, you'll die heroes."

What happened in Bakhmut?

Prigozhin's mercenary group spearheaded the successful assault on the eastern city of Bakhmut last month after the longest battle of the war.

Wagner Group fighters then handed their positions over to Russian troops.

Not the first time Wagner boss has spoken out

Prigozhin has been outspoken in his criticism of Russia's military leadership in the past.

Before Wagner captured Bakhmut, the leader threatened to pull his forces out of the city - blaming Moscow for a lack of ammunition.

On Monday, the commander of Ukraine's ground forces said on Ukrainian forces continued "moving forward" near the city.

Oleksandr Syrskyi said Ukrainian forces were successful in destroying a Russian position near the city.
Huyo jamaa anatuchezea mind game mkuu yy na Putin lao moja usimwamini kabisa.
 
Itakua hajalipwa ipasavyo, amepoteza wapiganaji wengi sana, kila siku ni matamko, pia nimeskia kuna ushindani mkali sana wa nani wa kumrithi Putin na huyu jamaa yumo, inawezekana naye aliahidiwa ila kasalitiwa.
 
Ikumbukwe Warusi walikufa zaidi ya 60,000 huku wengi wakiwa wapiganaji wa Wagner kipindi walikua wanajaribu kuteka mji wa Bakhmut, kiongozi huyu alijitangazia ushindi na kuondoka na kuacha wanajeshi wa Urusi wakijipambania, sasa amehamaki sana baada ya taarifa kumfikia kwamba maeneo mengi yanaendelea kukombolewa na wanajeshi wa Ukraine, kazi yote hiyo ilikua ya bure.

The head of the Wagner Group says Ukrainian forces have retaken part of a settlement north of Bakhmut.

Yevgeny Prigozhin said Kyiv's forces had retaken Berkhivka, calling it a "disgrace".

He urged leaders within Russia's military, including defence minister Sergei Shoigu and the chief of the general staff, Valery Gerasimov, to come to the front line, in a post on Telegram.

He said: "Come on, you can do it!

"And if you can't, you'll die heroes."

What happened in Bakhmut?

Prigozhin's mercenary group spearheaded the successful assault on the eastern city of Bakhmut last month after the longest battle of the war.

Wagner Group fighters then handed their positions over to Russian troops.

Not the first time Wagner boss has spoken out

Prigozhin has been outspoken in his criticism of Russia's military leadership in the past.

Before Wagner captured Bakhmut, the leader threatened to pull his forces out of the city - blaming Moscow for a lack of ammunition.

On Monday, the commander of Ukraine's ground forces said on Ukrainian forces continued "moving forward" near the city.

Oleksandr Syrskyi said Ukrainian forces were successful in destroying a Russian position near the city.
Russia can not be defeated, Ukraine is just having momentary Joy, Ukraine will only win in news papers and western media , Russia will become even more powerful than it is, you need to understand the significance of Russia in the end times of the World
 
Nimeona jina lako Mpalestina nikajua moja kwa moja kwanini unaandika pumba mlizokaririshwa huko...
 
NATO& UKRAINE wanapoteza hii vita ..njoo mwisho wa Vita hapa , nikifeli ndio useme naongea pumba....saizi mapema sana...kusema naongea pumba
 
Kwamba tuendelee kusubiri msafara utafika Kyev lini, mnakaririshana vitu vya ajabu.
 
Russia continues to suffer losses in its war of aggression against Ukraine. Over the past 24 hours alone, Ukrainian soldiers killed 730 occupiers and destroyed 28 artillery systems, 18 tanks and 16 armoured combat vehicles.
 
Unapoanzisha vita bila sababu ya msingi watoto kama Hawa wanakuwa sehemu ya wahanga.Shame on Putin!!
Little Solomiya is feeling safe in the hands of the Commander in Chief of the Armed Forces of Ukraine Valeriy Zaluzhnyy [emoji170][emoji169]

Photos: polinanana1322View attachment 2647166
Huyu jamaa si alikufa?
 
Back
Top Bottom