Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

Usiogope,hii ni kawaida Mbona, wala hakuna madhara.
 
Kakubali kutumika, kwa hiyo Tsheti aliyovaa tu ni dhahiri, mamluki wa mwendazake wako kazini, sponsors, wanaona mama anavyokubalika kama Raisi, na mwanzo wake ulivyo mzuri bila shuruba!

Hana mvuto wa kuwatoa watanzania kwenye mstari!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Sasa huyu Edo Kumwembe na Chadema walitaka wana ccm wamchukie rais anayetokana na ccm?

Au anafikiri Rais Samia anatekeleza ilani ya Chadema?

Hii jamhuri ya twita inasikitisha sana
 
Watanzania kwa sasa hatudanganyiki tena maana tumeteseka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…