mludego
JF-Expert Member
- Mar 16, 2013
- 2,597
- 3,565
Ndugu unazungumzia dar to manyoni?Akifika manyoni atadandia fuso mpaka shinyanga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu unazungumzia dar to manyoni?Akifika manyoni atadandia fuso mpaka shinyanga
Kuna mwingine nimemuuliza hivi wewe ni msukuma wa Shy,mwz, au Geita amekana kabisaaSasa hivi kila wanakopita wanajishuku
Safi,hiyo ndo ilikuwa mboga pendwa na mwendazake.Hizo haziahidiwa. Kwa mgeni kutoka Dar ndio cha kwanza kupewa!!!
Nasikia Kaburi la Mwendazake ni kubwa kiasi!Ameamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
Acha kujamba wakati unaharisha.Nasikia Kaburi la Mwendazake ni kubwa kiasi!
Naomba awaambie wali-slide ili wampatie chumba kabisa huko ndani.
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Hongera zakeAmeamua kuendesha baiskeli toka Dar mpaka Chato. Huu ni uzalendo wa kweli.View attachment 1742029
Usiogope,hii ni kawaida Mbona, wala hakuna madhara.Watu wanajitafutia kifo tu...mtu hana mazoezi wala hawajapata vipimo vya kitabibu kama wanaweza kusafiri kwa baskeli kwa umbali mrefu kiasi hicho.
Sisi tulitoa taadhari kwa jamaa aliekua anaruka kwenye majengo marefu akijidai alianzia Ndanda...japo Ndanda hapakua ba majengo marefu.
Kwa ujinga wa viongozi wetu wala hawatachukua taadhari ya kuwakinga wananchi hawa kwa ajili ya kupata sifa.
Walifurika uwanja wa Uhuru siku ya kuaga mwendazake na watu wakafa ila taadhari haikuchukuliwa.
Ndugu wa hao wajasiriamali washaurini wapate kibali cha kitabibu kama wanaweza kuendelea na hiyo zoezi.
Akili timamu Maana yake nini??.Hivi huwa unaakili timamu?
Sasa huyu Edo Kumwembe na Chadema walitaka wana ccm wamchukie rais anayetokana na ccm?Kakubali kutumika, kwa hiyo Tsheti aliyovaa tu ni dhahiri, mamluki wa mwendazake wako kazini, sponsors, wanaona mama anavyokubalika kama Raisi, na mwanzo wake ulivyo mzuri bila shuruba!
Hana mvuto wa kuwatoa watanzania kwenye mstari!
Everyday is Saturday............................... 😎
Hayo ndiyo malipo ya kusaliti mamilioni ya watanzania .Kuna mwingine nimemuuliza hivi wewe ni msukuma wa Shy,mwz, au Geita amekana kabisaa
Wacha kurusha ngumi hewani wewe MATAGAAcha kujamba wakati unaharisha.
Watanzania kwa sasa hatudanganyiki tena maana tumeteseka sanaKakubali kutumika, kwa hiyo Tsheti aliyovaa tu ni dhahiri, mamluki wa mwendazake wako kazini, sponsors, wanaona mama anavyokubalika kama Raisi, na mwanzo wake ulivyo mzuri bila shuruba!
Hana mvuto wa kuwatoa watanzania kwenye mstari!
Everyday is Saturday............................... 😎