Kiongozi wa wajasiriamali Magufuli bus terminal safarini Chato kwa baiskeli ili kumuenzi hayati JPM kwa msaada wake kwa wajasiriamali wadogo

Watu wanajitafutia kifo tu...mtu hana mazoezi wala hawajapata vipimo vya kitabibu kama wanaweza kusafiri kwa baskeli kwa umbali mrefu kiasi hicho.
Sisi tulitoa taadhari kwa jamaa aliekua anaruka kwenye majengo marefu akijidai alianzia Ndanda...japo Ndanda hapakua ba majengo marefu.

Kwa ujinga wa viongozi wetu wala hawatachukua taadhari ya kuwakinga wananchi hawa kwa ajili ya kupata sifa.
Walifurika uwanja wa Uhuru siku ya kuaga mwendazake na watu wakafa ila taadhari haikuchukuliwa.
Ndugu wa hao wajasiriamali washaurini wapate kibali cha kitabibu kama wanaweza kuendelea na hiyo zoezi.
Usiogope,hii ni kawaida Mbona, wala hakuna madhara.
 
Kakubali kutumika, kwa hiyo Tsheti aliyovaa tu ni dhahiri, mamluki wa mwendazake wako kazini, sponsors, wanaona mama anavyokubalika kama Raisi, na mwanzo wake ulivyo mzuri bila shuruba!

Hana mvuto wa kuwatoa watanzania kwenye mstari!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Sasa huyu Edo Kumwembe na Chadema walitaka wana ccm wamchukie rais anayetokana na ccm?

Au anafikiri Rais Samia anatekeleza ilani ya Chadema?

Hii jamhuri ya twita inasikitisha sana
 
Kakubali kutumika, kwa hiyo Tsheti aliyovaa tu ni dhahiri, mamluki wa mwendazake wako kazini, sponsors, wanaona mama anavyokubalika kama Raisi, na mwanzo wake ulivyo mzuri bila shuruba!

Hana mvuto wa kuwatoa watanzania kwenye mstari!

Everyday is Saturday............................... 😎
Watanzania kwa sasa hatudanganyiki tena maana tumeteseka sana
 
Back
Top Bottom