Kiongozi wetu akiwa na Marais wenzake wa Afrika anamsifia hayati Magufuli ila akiwa na mabeberu anamnanga na kumponda

Mkuu Nyankurungu2020 pole sana maana unaishi ukiwa na mateso mengi sana ya nafsi. JPM alikuwa ni binadamu wa kawaida kama mimi na wewe, hakukosa upungufu kama wa kwako na wa kwangu.

Kama kichwani mwako unaamini kabisa kuwa JPM hakustahili kukosolewa basi nakupa pole maalum.
 
u
haipiti week haujafungua uzi unaomuhusu jpm,
kiona mtu akitajwa kila siku ujue alikuwa mtu aliyeadibisha watu ndo maana kila kukicha ni JPM.pia ukifuatilia hao wanamtaja utajua ni wa aina gani.wako busy humu JF kuandika kuhusu JPM na hawana jingine na hawajui kumsema mtu ambaye hayupo ni kupoteza muda bure sababu hayupo wa kujibu hoja zao.na cha kushangaza zaidi mm nilitegemea hoja hizo zingeandikwa wakati yuko hai na si vinginevyo.
 
Wengi wanajua ukweli JPM alichofanya Tanzania, alikuwa Kama role model wa Africa, hawezi kumunanga mbele ya sanamu ya kwame nkuruma, atamunanga mbele ya mabeberu waiba rasilimali zetu hili apate kamusaada.
Kukamata matajiri na kuwabambikia kesi ii uwakamue utajiri wao ndiyo "role model" wako huyo?

Porojo alizokuwa anatujaza nazo ujinga hadharani na aliyokuwa akiyanya na timu zake ni kama ardhi na mbingu.

Mwenyezi Mungu hafanyi makosa.
 
Kukamata matajiri na kuwabambikia kesi ii uwakamue utajiri wao ndiyo "role model" wako huyo?

Porojo alizokuwa anatujaza nazo ujinga hadharani na aliyokuwa akiyanya na timu zake ni kama ardhi na mbingu.

Mwenyezi Mungu hafanyi makosa.
Kwani Matajiri wao wako juu ya Sheria!? Kwa nini wasikamatwe Kama Wana makosa!!??
 
Makosa yapi ????yule kiumbe alikuwa iblisi mwenye mwili wa Binadamu
unajiita mwislam halafu unaita binaadam mwenzako ibilisi!!!nyie ndio mnatawadha uzu hauwakai.

mumejaa uchafu mwilini mpaka mioyoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…