Phillipo Bukililo
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 18,487
- 13,611
Mkuu Nyankurungu2020 pole sana maana unaishi ukiwa na mateso mengi sana ya nafsi. JPM alikuwa ni binadamu wa kawaida kama mimi na wewe, hakukosa upungufu kama wa kwako na wa kwangu.Tulisikia kwa masikio yetu na macho yetu akikiri wazi kuwa hayati JPM alikuwa ana kiburi na alikuwa hashauriki. Na alifanya nae kazi kwa ugumu sana. Hii ina maanisha kuwa alipata wakati mgumu kuwa nae.
Ila akiwa huko Ghana akipewa tuzo amekiri kuwa hiyo tuzo aliyopewa hakustahili kuipata maana aliyestahili ni hayati JPM kwa kazi nzuri aliyoifanya kwa taifa lake.
Ina maana alimnanga hayati JPM mabeberu ili akubalike kwa manufaa yake binafsi huku akijua alikuwa jembe?
Huku Afrika anajikosha ili iweje?
Aina hii ya viongozi ni wa kutilia mashaka.
Kama kichwani mwako unaamini kabisa kuwa JPM hakustahili kukosolewa basi nakupa pole maalum.