Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

Kiongozi yoyote wa chama cha siasa akikaa madarakani zaidi ya miaka 20 bila kuleta mafanikio hafai, anajaza tumbo lake

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.

~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.

~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.

Hufai kuwa kiongozi.
image_search_1673085180491.jpg
 
~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.

~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.

~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.

Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936
Anzisha na ww chama chako ili ushinde ubunge kiulaini ushinde udiwani kiulaini na u Rais kiulaini ...na ujenge makao makuu yenye hadhi unayoitaka ww ....usitupangie chadema namna ya kukiendesha chama chetu
 
Wewe acha bangi zako, ccm waliwahi kujenga ofisi wapi ktk nchi hii na mkishaondolewa madarakani hakuna mtu atakaye wapangisha, iulizieni Kanu kule Kenya ambao walimiliki hadi Kenyatta International Conference Centre (KICC) ghorofa 32 lkn leo hawana hata banda.
 
Kweli kabisa, huyo mfalme atoke ili chadema yetu ijijenge upya. Tunaweza kupata na viongozi vijana wapya wenye maono mazuri na modern ya kukiendeleza chama.
Chadema imekuwa kama Tanga, "mbona kila kitu kimekufaa" ?
 
~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.

~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.

~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.

Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936
Mbowe anatisha kama njaa. Mbowe kwao ni kama maraika mtoa roho Machawa wengi wa chama cha mambuzi hawana uhakika wa kula kwa sababu ya Mbowe na Chadema jinsi wanavyopambana kuleta usawa kwa kila raia wa nchi hii
 
Safi sana kamanda kwa kuwaamsha wenzako maana wamelala usingizi wa pono hapo ufipa
Usingizi wa pono mngekuwa mnahaha sasa hivi kama ngedere waliofumaniwa?
Sasa hivi Samia anatoa maamuzi maamuzi ambayo yanawaumiza lakini mnajinafiki na kumpongeza huku moyoni mnaumia kisha unakuja kusema eti wamelala usingizi Chadema? Kwani nani kampushi Samia kufanya haya?

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app
 
~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.

~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.

~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.

Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936

Basi unge peleka mapepe yako tuone kama yange rudisha mjadala wa katiba na Raisi na CCM kukubali. Mbowe haendi maali mpaka hii nchi ipate katiba mpya yenye tija kwa taifa. Kama una akili ungejua hili ni muhimu kuliko uwenyekiti wa miaka 20!
 
Wewe Kamanda Uliyechoka kila siku nakwambia siasa huziwezi ,jikite kwenye sector yako ya utunzi wa story za mapenzi kama zie unazoziandika(ga).




 
Anzisha na ww chama chako ili ushinde ubunge kiulaini ushinde udiwani kiulaini na u Rais kiulaini ...na ujenge makao makuu yenye hadhi unayoitaka ww ....usitupangie chadema namna ya kukiendesha chama chetu
We unajihangaisha na genge la walevi. Ni watu wasiojitambua wakijifanya wanajua kukosea wengine. Chadema cha kidemokrasia kisicho na demokrasia.
 
Una hoja mwanangu hapa. Hawa si wapinzani bali wapigaji
Ndio wamesababisha mfumuko mkubwa wa bei unaotuumiza?

Ndio wamesababisha mgao wa umeme na maji nchi nzima?

Kama ni wao basi walaaniwe vinginevyo mnawaonea
 
Back
Top Bottom