Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Anzisha na ww chama chako ili ushinde ubunge kiulaini ushinde udiwani kiulaini na u Rais kiulaini ...na ujenge makao makuu yenye hadhi unayoitaka ww ....usitupangie chadema namna ya kukiendesha chama chetu~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936
Wewe ni mjinga! Kubali kujifunza na si kushubaza shingo!Anzisha na ww chama chako ili ushinde ubunge kiulaini ushinde udiwani kiulaini na u Rais kiulaini ...na ujenge makao makuu yenye hadhi unayoitaka ww ....usitupangie chadema namna ya kukiendesha chama chetu
Una hoja mwanangu hapa. Hawa si wapinzani bali wapigaji~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936
Una hoja mwanangu hapa. Hawa si wapinzani bali wapigaji~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936
Mbowe anatisha kama njaa. Mbowe kwao ni kama maraika mtoa roho Machawa wengi wa chama cha mambuzi hawana uhakika wa kula kwa sababu ya Mbowe na Chadema jinsi wanavyopambana kuleta usawa kwa kila raia wa nchi hii~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936
Usingizi wa pono mngekuwa mnahaha sasa hivi kama ngedere waliofumaniwa?Safi sana kamanda kwa kuwaamsha wenzako maana wamelala usingizi wa pono hapo ufipa
Wewe inakuhusu nini?.Wewe ni mjinga! Kubali kujifunza na si kushubaza shingo!
CHADEMA imekosa visionary Leaders, period!
Acha kupendekeza kwani wewe ni mwanafamilia wa Mzee Mtei au Mbowe?Anzisha na ww chama chako ili ushinde ubunge kiulaini ushinde udiwani kiulaini na u Rais kiulaini ...na ujenge makao makuu yenye hadhi unayoitaka ww ....usitupangie chadema namna ya kukiendesha chama chetu
~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936
We unajihangaisha na genge la walevi. Ni watu wasiojitambua wakijifanya wanajua kukosea wengine. Chadema cha kidemokrasia kisicho na demokrasia.Anzisha na ww chama chako ili ushinde ubunge kiulaini ushinde udiwani kiulaini na u Rais kiulaini ...na ujenge makao makuu yenye hadhi unayoitaka ww ....usitupangie chadema namna ya kukiendesha chama chetu
Nadhani huko uliko ndo kumejaa walevi wa madarakaWe unajihangaisha na genge la walevi. Ni watu wasiojitambua wakijifanya wanajua kukosea wengine. Chadema cha kidemokrasia kisicho na demokrasia.
Nakushauri tafuta mume uolewe, Mbowe hawezi kukuoa tena japo ndiye alikutoa usichana wako~ Miaka 20 na usheee bila ofisi ya makao makuu yenye hadhi.
~ Miaka 20 na ushee bila kukamata dola.
~ Wabunge wanapatikana kwa mbinde.
Hufai kuwa kiongozi.
View attachment 2471936
Tanzania imekosa Visionary Leader siyo Chadema; Chadema ina watu gani wa kuwaongoza? Aliyeshika Dola ndiyo kakosa Leadership, tangu 1961 hadi leo Umasikini, Ujinga na Maradhi. Ombaomba tu chini ya CCMWewe ni mjinga! Kubali kujifunza na si kushubaza shingo!
CHADEMA imekosa visionary Leaders, period!
Ndio wamesababisha mfumuko mkubwa wa bei unaotuumiza?Una hoja mwanangu hapa. Hawa si wapinzani bali wapigaji