Kioo Cha google pixel 3a ni shingapi?

Kioo Cha google pixel 3a ni shingapi?

Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua itakua na shida ya taa ya KIOO, Lakini sasahivi imezima kabisa haionyeshi kitu, lakini unasikia mashine inaunguruma ukiweka chaji n.k
Yangu ni pixel 3Axl, ilianguka chini ikaanza kuzima. Baadae ikawa haionyeshi kwenye kioo,ila mtu akipiga inavibrate ila huoni kitu kwenye kioo na ukiweka kwenye chaji inatoa ile sauti kuwa inapeleka ila asilimia huoni kwa sababu kioo chote ni cheusi.
Nilipeleka kwa fundi hao wa kwenye miavuli hapo kwenye msimbazi, jamaa akaniambia nimpe 30k , nikampa 15k. Akaifungua akaniambia kuna kitu kimelegea akafix simu ikawa sawa. Kwa hiyo huenda hata yako shida sio kioo.
 
Dah, namba ya huyo jamaa ukuchukua kweli? Mimi nahisi shida inaweza kua hiyo ngoja nitaenda kuzurura
 
Aisee..,,simu nyingine
Mm wakati nanunua aliyeniuzia alikuwa mpemba flan hiv. Akaniambia hii simu Haina spea ya elfu arobaini Wala hamsini. Utaiweza?. Nikajibu ndio kwa kujitutumua.. simu ile nilinunua 400 nkaja kuuza spea 5000/= tu kwa tatizo la kioo.

Nkazifanyia research nkagundu kumbe nilyakanyaga
 
Simu za bei uwe na pesa mkuu
 
Kwani hamuoni samsung jamani
Kama iPhone hampendi
 
Mimi ilinisumbua sana hiyo, mdogo wake ni Huawei. Acha kabisa.. nikarudi kwenye Tecno kupoza kwanza. Ninategemeea kurudi Samsung maana kidogo sim zao imara.. au nicheki Redmi note zile hata Infinix poa tu kwa Kaz zangu mimi.
Kwamba Samsung ni imara kuliko pixel ??

Hahaha...

Nna Google pixel tangu 2022.

Shida yenu mnanunua vya bei rahisi, Ukiambiwa google pixel 4 pale China plaza ni laki mbili na nusu unakimbilia chap kuwahi hilo bom.
 
Simu za Google pixel ni og tena kutoka nje ,vioo vyake ni quality kama ukiangalia tu na simu kama Tecno utaona tofauti...Vioo vyake og vina ile hali ya ukijani kwa mbali kama Samsung .

Ukipewa kioo uangavu unafanana na Tecno basi hamna kitu ,wengine wanaongeza mwanga mpaka mwisho wanakuambia hiki fake au og .
Watu wanakurupuka Tu acha waisome akili ikae sawa
 
Back
Top Bottom