Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yangu ni pixel 3Axl, ilianguka chini ikaanza kuzima. Baadae ikawa haionyeshi kwenye kioo,ila mtu akipiga inavibrate ila huoni kitu kwenye kioo na ukiweka kwenye chaji inatoa ile sauti kuwa inapeleka ila asilimia huoni kwa sababu kioo chote ni cheusi.Hizi simu bana Bora uchukue zako Infinix au Samsung, Nimeinunua miezi 6 iliyopita. Lakini shida iianza Jana inawaka Lakini mwanga unakuwa hafifu saaana, Mwisho kabisa ikazima jumla mwanzo nilijua itakua na shida ya taa ya KIOO, Lakini sasahivi imezima kabisa haionyeshi kitu, lakini unasikia mashine inaunguruma ukiweka chaji n.k
Kwa saizi naona Samsung kafunikwa na Google kwenye swala la LCDSamsung ndio wale wale 😁 labda ufunge feki
Dah, namba ya huyo jamaa ukuchukua kweli? Mimi nahisi shida inaweza kua hiyo ngoja nitaenda kuzururaYangu ni pixel 3Axl, ilianguka chini ikaanza kuzima. Baadae ikawa haionyeshi kwenye kioo,ila mtu akipiga inavibrate ila huoni kitu kwenye kioo na ukiweka kwenye chaji inatoa ile sauti kuwa inapeleka ila asilimia huoni kwa sababu kioo chote ni cheusi.
Nilipeleka kwa fundi hao wa kwenye miavuli hapo kwenye msimbazi, jamaa akaniambia nimpe 30k , nikampa 15k. Akaifungua akaniambia kuna kitu kimelegea akafix simu ikawa sawa. Kwa hiyo huenda hata yako shida sio kioo.
Watakupiga, hakuna used cha pixel, utauziwa cha dukani kwa bei ya used.Nitaenda kuzunguka Kariakoo kupata used, najua sitakosa
Aisee..,,simu nyingineAndaa 180 kavu
Samsung haoBiashara ya kununua simu laki 3 kioo laki 230 ndio sizipendagi hizo
Mm wakati nanunua aliyeniuzia alikuwa mpemba flan hiv. Akaniambia hii simu Haina spea ya elfu arobaini Wala hamsini. Utaiweza?. Nikajibu ndio kwa kujitutumua.. simu ile nilinunua 400 nkaja kuuza spea 5000/= tu kwa tatizo la kioo.Aisee..,,simu nyingine
Simu za bei uwe na pesa mkuuMm wakati nanunua aliyeniuzia alikuwa mpemba flan hiv. Akaniambia hii simu Haina spea ya elfu arobaini Wala hamsini. Utaiweza?. Nikajibu ndio kwa kujitutumua.. simu ile nilinunua 400 nkaja kuuza spea 5000/= tu kwa tatizo la kioo.
Nkazifanyia research nkagundu kumbe nilyakanyaga
Samsung na google pixel upande wa kioo ni ndugu moja. Gharama za kioo ni asilimia 70 ya bei ya simu mpya.Kwani hamuoni samsung jamani
Kama iPhone hampendi
Kwamba Samsung ni imara kuliko pixel ??Mimi ilinisumbua sana hiyo, mdogo wake ni Huawei. Acha kabisa.. nikarudi kwenye Tecno kupoza kwanza. Ninategemeea kurudi Samsung maana kidogo sim zao imara.. au nicheki Redmi note zile hata Infinix poa tu kwa Kaz zangu mimi.
Watu kutoa Pesa ndefu kwakitu og awataki Kuna simu za mtumba Zina 500K mtu anaenda kununua ya 300K na KIOO kinamstari au doti anategema nn mtu HuyoBiashara ya kununua simu laki 3 kioo laki 230 ndio sizipendagi hizo
Watu wanakurupuka Tu acha waisome akili ikae sawaSimu za Google pixel ni og tena kutoka nje ,vioo vyake ni quality kama ukiangalia tu na simu kama Tecno utaona tofauti...Vioo vyake og vina ile hali ya ukijani kwa mbali kama Samsung .
Ukipewa kioo uangavu unafanana na Tecno basi hamna kitu ,wengine wanaongeza mwanga mpaka mwisho wanakuambia hiki fake au og .
Dah, Kuna mtu kanambia 125k Hapo Kariakoo Mtaa wa Aggrey