Chick_tz
JF-Expert Member
- Mar 2, 2025
- 2,447
- 3,302
yule kipa amewaji chomesha kwenye game ya play off kipind yupo tabora united ko ana mkosiLAbda wamenusa kuna harufu ya rushwa.
Muhimu wamlipe stahiki zake.
yule kipa amewaji chomesha kwenye game ya play off kipind yupo tabora united ko ana mkosiLAbda wamenusa kuna harufu ya rushwa.
Muhimu wamlipe stahiki zake.
Sasa mbona mbumbumbu kutoka timu ya Camara ndo wanalalamaHaina shida na kujifunga timu ya Camara ndio maana yupo pale na Chasambi yupo pale ila timu ya Noble haivumili upuuzi kama huo ndio maana hawajasubiri hata kukuche wamekula kichwa
Waliomtimua Noble nadhani unawajua ni viongozi wa timu gani.Sasa mbona mbumbumbu kutoka timu ya Camara ndo wanalalama
Hao ni mbumbumbuWaliomtimua Noble nadhani unawajua ni viongozi wa timu gani.
Wao ujinga ni mwiko hawakupi hata siku moja ya kukufikiria ndio maana uliona hata mchezo tu hakuumaliza akaitwa nje
Wanaweza kuwa ni mbumbumbu kweli ila uzuri wakifanya maamuzi yao ni daima mbele nyuma mwiko na ndio wameshaamua sasa na huo umbumbumbu waoHao ni mbumbumbu
Kama kuna harufu ya Rushwa na ukapatikana ushahidi aondolewe tu. Na rushwa si lazima watoe Yanga, hata mtu tu huko kwa maslahi yake binafsi anaweza toa rushwa hivyo usitetee tu ukidhani unaipigania Club.Huo utakuwa upumbavu
Camara alirudisha mpira uliokiwa ukitoka na kumpa pasi Kijili akafungwa goli safi ila Bado timu yake inamvumilia
Sawa ila me sitaacha kuyaita maamzi ya ovyoWanaweza kuwa ni mbumbumbu kweli ila uzuri wakifanya maamuzi yao ni daima mbele nyuma mwiko na ndio wameshaamua sasa na huo umbumbumbu wao
Mpira haukosi makosaKama kuna harufu ya Rushwa na ukapatikana ushahidi aondolewe tu. Na rushwa si lazima watoe Yanga, hata mtu tu huko kwa maslahi yake binafsi anaweza toa rushwa hivyo usitetee tu ukidhani unaipigania Club.
Watakuwa vichaaKipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.
Nitarudi na updates zaidi…
Hua sielewi Kwanini manula hua analaumiwa zile goli 5 vs yanga.... Kwanza alitoka majeruhi wakampanga hivo hivo, huwezi sema alilazimisha ntashangaa kuskia mchezaji anaweza lazimisha kupangwa kwenye timuAungane na Manula duka kuu la Uto
Ni makosa ya kawaida kwenye footballHua sielewi Kwanini manula hua analaumiwa zile goli 5 vs yanga.... Kwanza alitoka majeruhi wakampanga hivo hivo, huwezi sema alilazimisha ntashangaa kuskia mchezaji anaweza lazimisha kupangwa kwenye timu
Turejee kwenye magoli
1) musonda- kile kichwa kilipigwa point blank range hata kipa gani hachomoi pale
2) maxi - shuti lilienda mbali kushoto huwezi mlaumu kipa
3) ki Aziz- mpira ulipita katikati ya mabeki
4)maxi- tap in goal
5) penalty ya pacome
Mimi ni mwananchi ila Leo huyu kipa wa SFG Kuna ulakini Sana, makosa yote yanatia shaka ila Kwa manula hua sielewi mnamlaumu nini
Ngoja nikupe elimu kidogo,basic zote za goal keeping zinamkataa alichofanya bwana noble .. hata goal keeper mdogo kabisa wa U15 anaweza kujua pale yule kipa alikua na lake..Hujui mpira
Goli la kwanza mpira ulidunda kipa kuupoza Mzize kafunga
Goli la 2 kipa alitaka asogeze kwe
Timu ya Camara huwa inafurahia kujifunga
Aliikosesha timu yake fedha zilizoahidiwa na Madunduka ikiwa wangepata haya draw..Waliomtimua Noble nadhani unawajua ni viongozi wa timu gani.
Wao ujinga ni mwiko hawakupi hata siku moja ya kukufikiria ndio maana uliona hata mchezo tu hakuumaliza akaitwa nje