Tetesi: Kipa John Noble wa Fountaine Gate avunjiwa mkataba baada ya kufungisha dhidi ya Yanga

Tetesi: Kipa John Noble wa Fountaine Gate avunjiwa mkataba baada ya kufungisha dhidi ya Yanga

Mpira wa Tz unaupuuzi mwingi sana,wengi hizi mechi wanaangalia vs Yanga na Simba tu ila huyo kipa anamakosa ya kijinga kwenye mechi kibao,sasa timu iliyopigwa tano mzunguko wa kwanza leo kupigwa nne unashangaa nini? Katika mechi kumi ilizicheza kabla ya kucheza na Yanga wameshinda ngapi?
 
Nimekuuliza swali Simba na yenyewe ni ya mwigulu? Timu zote ligi kuu ni za mwigulu mbona yanga kachapa zote jibu swali kwanza acha mawenge!
Nimekujibu kwa kuwa umevamia na kuniuliza upuuzi ambao hakuna kwenye comment yangu...
 
Unaposema ni ya mwigulu so what?
Kwamba timu za mwigulu ndio zinafungwa na yanga?
Mzee kamuulize kocha matano wa singida umesikia akisema wamepeana na kipa amefukuzw mpaka hapo kama una akili usingekuja kunitia njaa hapa...
 
Attachments

  • tweeload_04b7e52a.mp4
    10.6 MB
  • 20241225_065945.jpg
    20241225_065945.jpg
    116.7 KB · Views: 14
Mzee kamuulize kocha matano wa singida umesikia akisema wamepeana na kipa amefukuzw mpaka hapo kama una akili usingekuja kunitia njaa hapa...
Kama ni kupeana ata kipa Camara alipeana pia mlimfanyaje?
 
Basi tumemaliza nafuata maneno ya kocha sio wewe mshabiki yanga wanapanga matokeo full stop.
Auna hoja ya msingi,,kiufupi akuna timu Tanzania yenye ubora wa yanga Kila siku mtakuwa mnalia na kusaga meno!
 
Aungane na Manula duka kuu la Uto
Unapata dhambi bure.
Manula katoka majeruhi hajacheza mechi nyingi mnampanga mechi ngumu ya Yanga ya moto ya 5G!?
Walinzi walikuwa wapi hadi anafikiwa Manula golini?
Hamkufungwa tena na Yanga baada ya ile mechi?
 
Unapata dhambi bure.
Manula katika majeruhi hajacheza mechi nyingi mnampanga mechi ngumu ya Yanga ya Moto ya 5G!?
Walinzi walikuwa wapi Hadi anafikiwa Manula golini?
Hamkufungwa tena na Yanga baada ya ile mechi?
Mwambie kwanini asiungane na Camara duka kuu no.2
 
Sio kunusa, ile ni dhahiri shahiri. Kuvunjiwa mkataba haitoshi, anahitajika kuchukuliwa maelezo ya kina.
Prison vs Simba pale mbeya Musa Mbisa goli pekee la Simba na lililompa Simba point 3 Hadi Sasa zimemweka nafasi ya pili lilikuwaje?? Lina tofauti ipi na goli la Noble la kwanza??

Kumvunjia mkataba kwake ni faida hata hivyo.

Yaani timu ipo kwenye list ya timu za kushuka daraja yanga wapoteze muda na pesa kununua kipa wao?? Timu ambayo hata wakutane mara 10 hata goli kupata ni ngumu??
 
Wanajiaibisha hao Awana hoja ya msingi ya kuzungumza mbele ya watu Wenye akili timamu
 
Back
Top Bottom