Tetesi: Kipa John Noble wa Fountaine Gate avunjiwa mkataba baada ya kufungisha dhidi ya Yanga

Tetesi: Kipa John Noble wa Fountaine Gate avunjiwa mkataba baada ya kufungisha dhidi ya Yanga

Ngoja nikupe elimu kidogo,basic zote za goal keeping zinamkataa alichofanya bwana noble .. hata goal keeper mdogo kabisa wa U15 anaweza kujua pale yule kipa alikua na lake..
Tuanze na goal la kwanza ule mpira kwanza haukua na Kasi ivo na goal keeper alikua anauface kabisa mpira unakuja na mbele yake Kuna mtu pale goalkeeper alitakiwa aupunch pembeni ya goal kivyovyote vile mpira usdondoke mbele ya mshambuliaji kama kweli umekushinda kudaka.
Goli la pili kipa umeshatoka umeacha goli wazi hakuna mtu hata kama angekuwepo lakini basic za kawaida t za goal keeping ule mpira mshambuliaji anakufuata unatakiwa uutoe mpira nje basi ni kubutua mbali kabsa ili hata ukienda kuokotwa nje mnakua mshajipnga
Ange punch ✊ 👊 vip mpira uliodunda kimo cha mbuzi
Hapo alivo ogonga alitakiwa awepo beki aoshe

Goli la pili nakubali 80% ulikuwepo uzembe. Ila ndo mpira Onana pale man u anakosea
 
Yanga ni hatari ilisababisha ndoa ya Simba na Aishi Manula inayumba hadi leo.Timu zitawaonea sana makipa.Kuna timu alipoumia Camara ikaona isiwe tabu wakatokomea.
 
Utopolo mnaonga makipa mbwea nyie ...
5imba kahongwa ndo maana akapigwa mara nne mfululizo kutia na ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5, na kuamua kukimbia kipigo cha 5
 
Huo utakuwa upumbavu
Camara alirudisha mpira uliokiwa ukitoka na kumpa pasi Kijili akafungwa goli safi ila Bado timu yake inamvumilia
Walikamata simu zake kazi ikaishia hapo ulitaka wafanyeje na ushahidi wanao fountain gate sio wajinga mkuu.
 
Mtawaonea tu bure ,yanga hii inayopiga hamsa hamsa unaweza kufukuza timu nzima.
Yanga hawapo Caf champions league wakati huo simba wapo huko kwa hyo yanga wanatumia kila njia kuwanyamazisha mashabiki kutokana na uhuni wanaofanya njia pekee ni kushinda league kuu iwe kwa kuchinja au kwa kunyonga.
 
5imba kahongwa ndo maana akapigwa mara nne mfululizo kutia na ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5, na kuamua kukimbia kipigo cha 5
Hizo mechi zimemfanya aishi manula huseni kazi Kelvin kijiri hawachezi mpaka leo inasubiriwa mkataba wao uishe wakapambane kwingine kama nyinyi mlivyo wafukuza yanick bangala na juma shabani.
 
Mpira haukosi makosa
Hakuna golikipa asofanya makosa
Diara amefanya makosa ya kizembe na amefingwa magoli kama hayo

Camara amefingwa na Yanga Kwa uzembe
Amefingwa na Coast union Kwa uzembe
Amefingwa na fountain Kwa uzembe

Mbona hawajafukuzwa
Kwani nimesema afukuzwe sababu ya uzembe wa kibinadamu au iwapo kuna rushwa? Ni kwamba huamini kabisa kuwa rushwa inaweza kuwepo kwenye soka?
 
Huyu keeper mzembe. Yeye anaacha ushahidi kwenye Simu kama vile punguani. Mawasiliano aliyofanya badala ya kufuta aliacha kwenye simu kama fala.
 
Na Simba ni ya mwigulu? Mbona imebondwa mara 4 mfululizo na mara ya 5 ikaona isiwe kesi ni Bora kuingia mitini kuliko kukung'utwa 5 nyingine!
Aliponunua DTB alibadili jina kuwa singida fountain gate..Aliponunua ihefu alibadili kuwa singida black stars..unajua kwanini hiyo singida foutain gate haijabadili usajili wa jina na imehamishwa...sio uwe unakurupuka tu...
 
Aliponunua DTB alibadili jina kuwa singida fountain gate..Aliponunua ihefu alibadili kuwa singida black stars..unajua kwanini hiyo singida foutain gate haijabadili usajili wa jina na imehamishwa...sio uwe unakurupuka tu...
Nimekuuliza swali Simba na yenyewe ni ya mwigulu? Timu zote ligi kuu ni za mwigulu mbona yanga kachapa zote jibu swali kwanza acha mawenge!
 
Back
Top Bottom