Ange punch ā š vip mpira uliodunda kimo cha mbuziNgoja nikupe elimu kidogo,basic zote za goal keeping zinamkataa alichofanya bwana noble .. hata goal keeper mdogo kabisa wa U15 anaweza kujua pale yule kipa alikua na lake..
Tuanze na goal la kwanza ule mpira kwanza haukua na Kasi ivo na goal keeper alikua anauface kabisa mpira unakuja na mbele yake Kuna mtu pale goalkeeper alitakiwa aupunch pembeni ya goal kivyovyote vile mpira usdondoke mbele ya mshambuliaji kama kweli umekushinda kudaka.
Goli la pili kipa umeshatoka umeacha goli wazi hakuna mtu hata kama angekuwepo lakini basic za kawaida t za goal keeping ule mpira mshambuliaji anakufuata unatakiwa uutoe mpira nje basi ni kubutua mbali kabsa ili hata ukienda kuokotwa nje mnakua mshajipnga
Kipa gani aliehongwa aachie magoli yaYule kipa alikua kibiashara zaidi leo
Uwe unaangalia UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mamaMimi sikuizi game za yanga wala sipotezi muda kuangalia
Utopolo mnaonga makipa mbwea nyie ...Uwe unaangalia UMISETA yaani shirikisho ni mashindano ya akina mama
5imba kahongwa ndo maana akapigwa mara nne mfululizo kutia na ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5, na kuamua kukimbia kipigo cha 5Utopolo mnaonga makipa mbwea nyie ...
Tunamtakia pin š š anayerudisha mpira na kufungwa na wachezaji wenzake akina Chasambi na KijiliYanga wamchukue mtu wao
Walikamata simu zake kazi ikaishia hapo ulitaka wafanyeje na ushahidi wanao fountain gate sio wajinga mkuu.Huo utakuwa upumbavu
Camara alirudisha mpira uliokiwa ukitoka na kumpa pasi Kijili akafungwa goli safi ila Bado timu yake inamvumilia
Yanga hawapo Caf champions league wakati huo simba wapo huko kwa hyo yanga wanatumia kila njia kuwanyamazisha mashabiki kutokana na uhuni wanaofanya njia pekee ni kushinda league kuu iwe kwa kuchinja au kwa kunyonga.Mtawaonea tu bure ,yanga hii inayopiga hamsa hamsa unaweza kufukuza timu nzima.
Hizo mechi zimemfanya aishi manula huseni kazi Kelvin kijiri hawachezi mpaka leo inasubiriwa mkataba wao uishe wakapambane kwingine kama nyinyi mlivyo wafukuza yanick bangala na juma shabani.5imba kahongwa ndo maana akapigwa mara nne mfululizo kutia na ndani kipigo cha mbwa mwizi cha goli 5, na kuamua kukimbia kipigo cha 5
Dah jamaa katupiga 1.2 trillion kumbe kaenda kuwekeza kwenye mpira.Hiyo yenyewe ni ya Mwigulu...
Kwani nimesema afukuzwe sababu ya uzembe wa kibinadamu au iwapo kuna rushwa? Ni kwamba huamini kabisa kuwa rushwa inaweza kuwepo kwenye soka?Mpira haukosi makosa
Hakuna golikipa asofanya makosa
Diara amefanya makosa ya kizembe na amefingwa magoli kama hayo
Camara amefingwa na Yanga Kwa uzembe
Amefingwa na Coast union Kwa uzembe
Amefingwa na fountain Kwa uzembe
Mbona hawajafukuzwa
Camara yeye magori alimuita mara 3 akakaushaš¤£š¤£Huo utakuwa upumbavu
Camara alirudisha mpira uliokiwa ukitoka na kumpa pasi Kijili akafungwa goli safi ila Bado timu yake inamvumilia
Na Simba ni ya mwigulu? Mbona imebondwa mara 4 mfululizo na mara ya 5 ikaona isiwe kesi ni Bora kuingia mitini kuliko kukung'utwa 5 nyingine!Hiyo yenyewe ni ya Mwigulu...
Aliponunua DTB alibadili jina kuwa singida fountain gate..Aliponunua ihefu alibadili kuwa singida black stars..unajua kwanini hiyo singida foutain gate haijabadili usajili wa jina na imehamishwa...sio uwe unakurupuka tu...Na Simba ni ya mwigulu? Mbona imebondwa mara 4 mfululizo na mara ya 5 ikaona isiwe kesi ni Bora kuingia mitini kuliko kukung'utwa 5 nyingine!
Nimekuuliza swali Simba na yenyewe ni ya mwigulu? Timu zote ligi kuu ni za mwigulu mbona yanga kachapa zote jibu swali kwanza acha mawenge!Aliponunua DTB alibadili jina kuwa singida fountain gate..Aliponunua ihefu alibadili kuwa singida black stars..unajua kwanini hiyo singida foutain gate haijabadili usajili wa jina na imehamishwa...sio uwe unakurupuka tu...