Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 25,299
- 40,929
Nimekujibu kwa kuwa umevamia na kuniuliza upuuzi ambao hakuna kwenye comment yangu...Nimekuuliza swali Simba na yenyewe ni ya mwigulu? Timu zote ligi kuu ni za mwigulu mbona yanga kachapa zote jibu swali kwanza acha mawenge!
Unaposema ni ya mwigulu so what?Nimekujibu kwa kuwa umevamia na kuniuliza upuuzi ambao hakuna kwenye comment yangu...
Mzee kamuulize kocha matano wa singida umesikia akisema wamepeana na kipa amefukuzw mpaka hapo kama una akili usingekuja kunitia njaa hapa...Unaposema ni ya mwigulu so what?
Kwamba timu za mwigulu ndio zinafungwa na yanga?
Kama ni kupeana ata kipa Camara alipeana pia mlimfanyaje?Mzee kamuulize kocha matano wa singida umesikia akisema wamepeana na kipa amefukuzw mpaka hapo kama una akili usingekuja kunitia njaa hapa...
Basi tumemaliza nafuata maneno ya kocha sio wewe mshabiki yanga wanapanga matokeo full stop.Kama ni kupeana ata kipa Camara alipeana pia mlimfanyaje?
Auna hoja ya msingi,,kiufupi akuna timu Tanzania yenye ubora wa yanga Kila siku mtakuwa mnalia na kusaga meno!Basi tumemaliza nafuata maneno ya kocha sio wewe mshabiki yanga wanapanga matokeo full stop.
Unapata dhambi bure.Aungane na Manula duka kuu la Uto
Mwambie kwanini asiungane na Camara duka kuu no.2Unapata dhambi bure.
Manula katika majeruhi hajacheza mechi nyingi mnampanga mechi ngumu ya Yanga ya Moto ya 5G!?
Walinzi walikuwa wapi Hadi anafikiwa Manula golini?
Hamkufungwa tena na Yanga baada ya ile mechi?
Prison vs Simba pale mbeya Musa Mbisa goli pekee la Simba na lililompa Simba point 3 Hadi Sasa zimemweka nafasi ya pili lilikuwaje?? Lina tofauti ipi na goli la Noble la kwanza??Sio kunusa, ile ni dhahiri shahiri. Kuvunjiwa mkataba haitoshi, anahitajika kuchukuliwa maelezo ya kina.
Wanajiaibisha hao Awana hoja ya msingi ya kuzungumza mbele ya watu Wenye akili timamuPrison vs Simba pale mbeya Musa Mbisa goli pekee la Simba na lililompa Simba point 3 Hadi Sasa zimemweka nafasi ya pili lilikuwaje?? Lina tofauti ipi na goli la Noble la kwanza??
Kumvunjia mkataba kwake ni faida hata hivyo.
Yaani timu ipo kwenye list ya timu za kushuka daraja yanga wapoteze muda na pesa kununua kipa wao?? Timu ambayo hata wakutane mara 10 hata goli kupata ni ngumu??
Walimuonea angalia hapaKipa wa Fountaine Gate, John Noble aliyedaka leo dhidi ya Yanga anadaiwa kuvunjiwa mkataba na klabu hiyo baada ya kufanya makosa mawili ya wazi yaliyopelekea kuwapa Yanga magoli mawili.
Nitarudi na updates zaidi…