Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

Kipa wa KMC FC tukutane wapi unigawie kidogo hela uliyopewa kwa kuwapa goli jepesi la jioni?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.

Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
 
Na huu Uzee wangu hata Kesho unipange Golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo huyu Fei Toto bado hatoweza Kunifunga kama alivyomfunga Mnafiki na Mpuuzi David Kisu Kipa wa KMC FC.

Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Dah! Ila Aden Rage anawajua Shimbwa akili ndogo....sijui atawasaidiaje!?
 
Boss! Kunywa maji na andazi hapo ntakuja kulipa. Wacha stress ndogo ndogo.
Na huu Uzee wangu hata Kesho unipange Golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo huyu Fei Toto bado hatoweza Kunifunga kama alivyomfunga Mnafiki na Mpuuzi David Kisu Kipa wa KMC FC.

Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
 
Kocha wa KMC na meneja wa KMC na afisa habari wa KMC walikuwa kimyaa.
Unamtoa uwesu uwesu unamwacha yule mjinga niliyemwona mimi kama beki namba mbili.
 
Back
Top Bottom