Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Kama KMC mnajitambua mfukuzeni huyo kocha. Sababu ya kwanza ilikuwa ni ya kimkakati.
Wa Yanga ashinde.
La mwulizeni hivi, hao wachezaji watatu alio watoa iipindi cha pili walikosea wapi ?
Video zipo, na ziletwe tuone
Wa Yanga ashinde.
La mwulizeni hivi, hao wachezaji watatu alio watoa iipindi cha pili walikosea wapi ?
Video zipo, na ziletwe tuone