Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Popoma charismatic fela .....Na huu Uzee wangu hata Kesho unipange Golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo huyu Fei Toto bado hatoweza Kunifunga kama alivyomfunga Mnafiki na Mpuuzi David Kisu Kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Kwa akili hizi Taifa limepata hasara kwa kweli.Kama KMC mnajitambua mfukuzeni huyo kocha. Sababu ya kwanza ilikuwa ni ya kimkakati.
Wa Yanga ashinde.
La mwulizeni hivi, hao wachezaji watatu alio watoa iipindi cha pili walikosea wapi ?
Video zipo, na ziletwe tuone
Mkuu, niliwaambia hapa mashabiki wa Simba wana stress, mkakataa kunielewa.Kwa akili hizi Taifa limepata hasara kwa kweli.
Mimba yako Changa bado inakutesa?Popoma charismatic fela .....
Bila shaka ushamaliza pepa la darasa la nne
Hauna thread hapa jamiiforums, hili ni jukwaa huru. Ukishapost kila mtu yuko huru kuchangia.Achana na Mimi Mnafiki na Mpumbavu mkubwa Wewe. Kutwa unahubiri Kunichukia GENTAMYCINE hapa Jamiiforums lakini cha Kushangaza unapenda Kushobokea Mada ( Threads ) zangu.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Hongera kwa Kukazana kunipa Umaarufu.Hauna thread hapa jamiiforums, hili ni jukwaa huru. Ukishapost kila mtu yuko huru kuchangia.
Pia mtu akikukosoa haimaanishi kwamba awe na prejudices against you.
Unapoteza nguvu nyingi bure kuisema yangaNa huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Dr. GENTAMYCINE lile hata Manula angefungwa.Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Boss!!! Ata sisi Sub zetu za Nkane na Fei Baby ndio zilizaa kakitu. Wacha izo.KMC jana aliyeharibu ni Beki namba mbili 2. Kikosi kilikuwa vizuri tu. Na huyo No. Mbili kacheza hadi mwisho.
Ile Sub, ya kipindi cha pili iliyowatoa wachezaji watatu wa KMC ilikuwa ya mipango.
Uwesu Uwesu na wale wawili waliupiga mwingi sana mi walivyo tolewa tu nikacheka na kuwaambia jirani zangu kuwa Yanga ishashinda.
Mmoja ya waliotolewa alikuwa anatikisa kichwa kwa kushangaa kwanini anatoka.
Ndio maana yule msemaji wa KMC anayeropoka kwa jazba wakicheza na Simba jana alikuwa Kimyaaaa.
Nawaambieni Yanga mtakuwa mnachukua makombe yote ya ndani kwa muda huu. Ila mkienda kimataifa mtachapika hadi mkome.
Hao Watunisia watawakaanga hapahapa kwa mkapa kwakuwa refa sio mtanzania.
Imefikia mahali Yanga inabebwa na karibu nchi nzima.
Ni ajabu na kweli.
Acha Upuuzi angalia hapaNa huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
We nawe unatafuta attention na kujiona special. Kila siku ni kulaumu na kulalama unachukiwa, wakuchukie kwa lipi? Mara mods wanakuonea kwa lipi? Ebu kuwa bwana mkubwa na ubadilike. Unaboa bwana sio kila siku wewe. Member tushindwe wachukia magreater thinker akina Mshana Jr, the Bold au mzee saidi wa Zanzibar au Paschal, Da Vinci n.k wanaondika vitu vya maana tukuchukie wewe unayeandika ushuzi humu. Huna umuhimu na uspecial huo humu JF. Tuliza mshonoAchana na Mimi Mnafiki na Mpumbavu mkubwa Wewe. Kutwa unahubiri Kunichukia GENTAMYCINE hapa Jamiiforums lakini cha Kushangaza unapenda Kushobokea Mada ( Threads ) zangu.
Cc: Bujibuji Simba Nyamaume
Dah kazi ipo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji375]Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?