Si muhonge na nyie m'bebwe?KMC jana aliyeharibu ni Beki namba mbili 2. Kikosi kilikuwa vizuri tu. Na huyo No. Mbili kacheza hadi mwisho.
Ile Sub, ya kipindi cha pili iliyowatoa wachezaji watatu wa KMC ilikuwa ya mipango...
Nonsense.We nawe unatafuta attention na kujiona special. Kila siku ni kulaumu na kulalama unachukiwa, wakuchukie kwa lipi? Mara mods wanakuonea kwa lipi...
Ndiyo maana huwa nakuambia Nakukubali sana, Una Akili Kubwa halafu ni Rafiki yangu mkubwa hapa JamiiForums.Ila Genta Una akili Sana. Kuna watu ulishawageuza Ndondocha Hadi hawajitambui. Inawezekana hapa unamaanisha kitu tofauti lakini walivyojaa Sasa!!
Makolo naona roho imewauma sana sie kuvuna point tatu. Shame on you Ze KOLOZI[emoji16]hawa utopolo wakikutana na watu kimataifa wanashindwa kutembeza bahasha yanaanza kulia hapa
Hivi kumbe ndo una akili za hovyo hivyo mweeeHongera kwa Kukazana kunipa Umaarufu.
kwahio team isifanye sub nyinyi mmecheza na Yanga mechi ngapi mmeshidwa kutufunga mnawasakizia KMC mtafta visababu visivyo na kichwa wala miguuKMC jana aliyeharibu ni Beki namba mbili 2. Kikosi kilikuwa vizuri tu. Na huyo No. Mbili kacheza hadi mwisho.
Ile Sub, ya kipindi cha pili iliyowatoa wachezaji watatu wa KMC ilikuwa ya mipango...
Jamani kuna mtu kaumizwa huku! Leteni First Aid kit.We nawe unatafuta attention na kujiona special. Kila siku ni kulaumu na kulalama unachukiwa, wakuchukie kwa lipi? Mara mods wanakuonea kwa lipi?...
Lile goli, lilikuwa la kumpeleka kaburiniNa usimsahau Manula akupatie kamgao kadogo alikokapata kwa kuruhusu goli la Aziz Ki kizembe kabisa.
Ndio mkuu, timu ni mipangoYanga mtapigwa kimataifa hadi mnye mavi mekundu.
Timu yenu ni ya mipango tu basi.
Wewe ni mwehu kumbe sasa lile gori mtu unadakaje ndani ya 6?Na huu uzee wangu hata kesho unipange golini na uwaambie akina Nkane na Fei Toto wakae kama walivyokaa leo, huyu Fei Toto bado hatoweza kunifunga kama alivyomfunga mnafiki na mpuuzi David Kisu kipa wa KMC FC.
Hivi TAKUKURU haya yote hamyaoni?
KMC jana aliyeharibu ni Beki namba mbili 2. Kikosi kilikuwa vizuri tu. Na huyo No. Mbili kacheza hadi mwisho.
Ile Sub, ya kipindi cha pili iliyowatoa wachezaji watatu wa KMC ilikuwa ya mipango.
Uwesu Uwesu na wale wawili waliupiga mwingi sana mi walivyo tolewa tu nikacheka na kuwaambia jirani zangu kuwa Yanga ishashinda.
Mmoja ya waliotolewa alikuwa anatikisa kichwa kwa kushangaa kwanini anatoka.
Ndio maana yule msemaji wa KMC anayeropoka kwa jazba wakicheza na Simba jana alikuwa Kimyaaaa.
Nawaambieni Yanga mtakuwa mnachukua makombe yote ya ndani kwa muda huu. Ila mkienda kimataifa mtachapika hadi mkome.
Hao Watunisia watawakaanga hapahapa kwa mkapa kwakuwa refa sio mtanzania.
Imefikia mahali Yanga inabebwa na karibu nchi nzima.
Ni ajabu na kweli.
Hapa unawezaje kumlaumu Kipa?Acha Upuuzi angalia hapa
GENTAMYCINE ni Mpuuziiiiiii tu! Huwezi mlaumu kipaHapa unawezaje kumlaumu Kipa?
Aka Le popomazNonsense.
Mimi ndiyo GENTAMYCINE The Great.