Kipa wa Simba, Camara aifikia rekodi ya Diarra

Kipa wa Simba, Camara aifikia rekodi ya Diarra

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Kipa wa Simba, Moussa Camara amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza.

IMG_3068.jpeg
Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi aliyekuwa Coastal Union ambaye aliibuka kinara msimu uliopita kwenye mechi zake 25 kati ya 30.

IMG_3069.jpeg
TOP CLEAN SHEETS NBCPL 2024/2025.

1. Moussa Camara - 14
2. Djigui Diarra - 9
3. Patrick Munthary - 9
4. Metacha Mnata - 7
5. Mohamed Mustafa - 7
6. Yona Amosi - 7
7. Yakoub Seleman - 6
 
Sasa ni wakati wa TFF kujitathmini baada ya hawa wageni je timu yetu ya Taifa ina makipa bora? Tujitathmini nasi kama Taifa kuzalisha magolkipa bora.
 
Back
Top Bottom