Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Kipa wa Simba, Moussa Camara amefikisha clean sheet ya 14 kwenye ligi msimu huu akicheza mechi 18 akiendelea kuongoza.
Clean Sheet hizo zinalingana na zile ambazo Djigui Diarra wa Yanga alizomaliza nazo msimu uliopita alipocheza mechi 21, huku pia akibakisha moja kuzifikia za Ley Matampi aliyekuwa Coastal Union ambaye aliibuka kinara msimu uliopita kwenye mechi zake 25 kati ya 30.
TOP CLEAN SHEETS NBCPL 2024/2025.
1. Moussa Camara - 14
2. Djigui Diarra - 9
3. Patrick Munthary - 9
4. Metacha Mnata - 7
5. Mohamed Mustafa - 7
6. Yona Amosi - 7
7. Yakoub Seleman - 6
1. Moussa Camara - 14
2. Djigui Diarra - 9
3. Patrick Munthary - 9
4. Metacha Mnata - 7
5. Mohamed Mustafa - 7
6. Yona Amosi - 7
7. Yakoub Seleman - 6