TANZIA Kipa wa zamani wa Simba, Yanga na Songea auawa kwa kuchomwa moto na Wananchi wenye hasira kali

TANZIA Kipa wa zamani wa Simba, Yanga na Songea auawa kwa kuchomwa moto na Wananchi wenye hasira kali

Mandojo naye alikufa hivyo hivyo ,kuna mzee mtaani aliykuwa baba wa rafiki yangu aliuawa hivyo hivyo.

Kuna jamaa kipind cha nyuma alikuwa chizi anaitwa Ally upolichi hapa Tanga ni maarufu ,alikuja kuuliwa mtaa wa pili wakidhani ni mwizi
..Tena vifo vyao vibaya sana.

Kiufupi maisha yanafikirisha sana ni pata potea.
Wiki iliyopita DJ wa kazimoto pub tabata segerea aliuwawa kwa style hiyo hiyo.
 
Back
Top Bottom