Mandojo naye alikufa hivyo hivyo ,kuna mzee mtaani aliykuwa baba wa rafiki yangu aliuawa hivyo hivyo.
Kuna jamaa kipind cha nyuma alikuwa chizi anaitwa Ally upolichi hapa Tanga ni maarufu ,alikuja kuuliwa mtaa wa pili wakidhani ni mwizi
..Tena vifo vyao vibaya sana.
Kiufupi maisha yanafikirisha sana ni pata potea.