nzahaksm
Member
- Dec 2, 2018
- 17
- 31
Hii njia kama wewe ni mkazi wa huku nadhani unaelewa maumivu tunayoopitia wananchi. Hazipiti siku mbili au tatu bila kuwa na shida ya ajali na kusababisha foleni. Lakini wakati mwingine kupelekea vifo. Mfano jana ilitokea ajali na kusababisha vifo pale pale darajani mlimani. Gari lilifeli break na kuvamia boda na abiria.
Hii tatizo lilishakuwa sugu lakini lishajulikana muda baada ya miji inayotumia hii njia kukukua.
Ni kawayda kupoteza zaidi ya masaa manne kwenye foleni ama utembee kwa miguu au kupanda boda ambapo na kwenye unahatarisha usalama wako kwa kuwa kipindi cha foleni kunakosekana utaratibu wa utumiaji barabara kama magari yanayochomekea wenzao etc.
Nashauri kwa kuanzia tu Serikali ianze kupanua daraja kwanza kuhakikisha zile service road mbili za kushoto na kulia zote zinafanya kazi hadi kongowe.
Mbili zichongwe service road zote ziwe level mana kuna maeneo zipo juu sana ambapo inaongeza hatar za ajali zaidi.
Wakati tukisubiri upanuzi wa barabara hili lingefanyika ingekuwa msaada mkubwa na kuruhusu magari kuzitumia hizi service road bila shida bila hata kuwa na lami.
Ni jambo linalowezekana tusisubiri majanga yazidi kuendelea wakati suluhisho la haraka lipo wazi. Naiomba serikali yangu sikivu kusiki kilio cha wananchi wake.