Tuliambiwa Makutupora Singida na siyo DodomaPICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422)
PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
Kipande cha Dar-Moro tulikuwa tunaambiwa kiko 75PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
Hakuna cha ilani ya ccm wala nini, hao wote Kila mmoja aliongoza kwa utashi wake. Kwa maneno marahisi, utashi wa hao viongozi ndio hugeuka kuwa ilani. Hiyo kitu kinaitwa ilani ni porojo za kwenda kupigia mbele ya raia, lakini kiukweli rais hutekeleza yale atakayo kutokana na utashi wake. Mfano mrahisi, ilani ya ccm ya 2015-20 ilisema mwanafunzi akijifungua atarudi shule. Lakini Magufuli alikataa hilo hadharani na hakuna wanaccm walichofanya. As a result, ilani hii ya 2020-25 aliyoiandaa Magufuli akiwa rais haina jambo hilo, simply rais hapendi.Ukimponda Kikwete inabidi umponde Mkapa.
Ukimponda Samia inabidi umponde JPM.
Ukimsifu Nyerere msifu pia na Mwinyi.
Wote ni watekelezaji wa ilani ya Chama kimoja.
Hayati alikuwa ni mtendaji wa viwango vya juu na sikulazimishi kukubaliana na mimi.Lakini pia kuna akili na IQ, sisi wengine tulimchukia mwendazake kwa sababu ya akili yake, na sasa tunaona nafuu Samia kwa sababu ameonesha ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mwendazake
Magufuli alisema zipo shule maalum kwa wanaopata ujauzito.Kipande cha Dar-Moro tulikuwa tunaambiwa kiko 75
Hakuna cha ilani ya ccm wala nini, hao wote Kila mmoja aliongoza kwa utashi wake. Kwa maneno marahisi, utashi wa hao viongozi ndio hugeuka kuwa ilani. Hiyo kitu kinaitwa ilani ni porojo za kwenda kupigia mbele ya raia, lakini kiukweli rais hutekeleza yale atakayo kutokana na utashi wake. Mfano mrahisi, ilani ya ccm ya 2015-20 ilisema mwanafunzi akijifungua atarudi shule. Lakini Magufuli alikataa hilo hadharani na hakuna wanaccm walichofanya. As a result, ilani hii ya 2020-25 aliyoiandaa Magufuli akiwa rais haina jambo hilo, simply rais hapendi.
Magufuli alisema zipo shule maalum kwa wanaopata ujauzito.
Na lengo lake ni kutunza maadili yetu. Tatizo huwa tunamezwa sana na mitazamo ya kisiasa.
Mkuu nilimtazama live akiongea Chalinze kwa Ridhiwani alisema wajawazito mashuleni watapelekwa katika shule maalum na ni kimaadili ili wanaobakia wasiweze kuambukizwa tabia.Alisema hivyo baada ya kelele kuwa nyingi kuhusu kauli akafanya hivyo kujikosha. Kama alitaka hivyo kwanini hakuweka hilo kwenye ilani ya 2020-25? Halafu unaposema tunakuwa na mitazamo ya kisiasa, kwani ilani sio mambo ya kisiasa bali ni ya sayansi? Philipo unakwama wapi?
Tusaidiane tu kufikiri, (Ingawa ninafahamu jinsi ilivyo kazi ngumu sana kuwaelewesha watu kama wewe), nyinyi watu wa typem yako ni rahisi sana kushikwa masikio, mlikuwa mnashangilia kwa makofi ujinga aliokuwa anawafanyia mwendazake, na yeye akagundua kumbe nawaongoza wapumbavu, ndio maana alikuwa anapiga vita sana watu wanaopeleka watoto wao Private school, kwa sababu alitaka sana watoto wetu wawe mbumbumbu, naomba nikuache kwa sababu nimegundua wewe una ugonjwa ambao mwendazake aliwaambukiza, na hamuwezi kupoHayati alikuwa ni mtendaji wa viwango vya juu na sikulazimishi kukubaliana na mimi.
Hayati alikuwa na uwezo wa kuanzisha na kufuatilia anachoanzisha, alikuwa jasiri na mwenye msimamo.
Kawaida ukiwa nacho huwezi kukithamini. Mataifa kama Nigeria waliweza kumuelewa kuliko sisi watanzania!.
Kwa hiyo unaweza kumuona fulani hana akili kumbe wewe ndio sifuri kabisa kwa viwango vya kimatai
Mjinga ni wewe mkuu unayeamini katika matusi kama vile yanafundishwa mashuleni na wanafunzi wanayafanyia mitihani.Tusaidiane tu kufikiri, (Ingawa ninafahamu jinsi ilivyo kazi ngumu sana kuwaelewesha watu kama wewe), nyinyi watu wa typem yako ni rahisi sana kushikwa masikio, mlikuwa mnashangilia kwa makofi ujinga aliokuwa anawafanyia mwendazake, na yeye akagundua kumbe nawaongoza wapumbavu, ndio maana alikuwa anapiga vita sana watu wanaopeleka watoto wao Private school, kwa sababu alitaka sana watoto wetu wawe mbumbumbu, naomba nikuache kwa sababu nimegundua wewe una ugonjwa ambao mwendazake aliwaambukiza, na hamuwezi kupo
Reli nyingi za SGR zilizojengwa Africa hasa hizi nchi za eastern part e.g Ethiopia, Kenya, Eritrea zote ni njia moja hivi vitu ni fedhaaa nduguKujenga reli ya njia moja karne hii halafu unaiita supermodern SGR ya mwendo kasi ni udanganyifu na upotevu mkubwa wa fedha za maskini. Reli za njia moja zilijengwa hapa nchini na Wajerumani mwaka 1910!
Kwani Ulaya intercity permanent way zina njia ngapi? Labda tuanzie hapo.Kujenga reli ya njia moja karne hii halafu unaiita supermodern SGR ya mwendo kasi ni udanganyifu na upotevu mkubwa wa dha za maskini. Reli za njia moja zilijengwa hapa nchini na Wajerumani mwaka 1910!
Kenya hiiPICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
====
View attachment 1796165
Google ya kenyaNadhani utekelezaji wa hii miradi ya kimkakati iko kwenye ilani ya chama inawezaje kuwa ni legacy ya mtu?
Nenda shule ukajifunze maana ya legacy. Miundombinu haiweze kuwa legacy.PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.
Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
====
View attachment 1796165
Bila kusahau kipande cha Posta Station mpaka Pugu naona hakimaliziki.Kuna kipande toka mwaka juzi tuliambiwa kimefikia asilimia 88 mpaka leo sijui zimepanda au kushuka - Dar mpaka Moro
Magufuli alisema zipo shule maalum kwa wanaopata ujauzito.
Na lengo lake ni kutunza maadili yetu. Tatizo huwa tunamezwa sana na mitazamo ya kisiasa.