Kipande cha SGR Morogoro to Makutupora 61%

Kipande cha SGR Morogoro to Makutupora 61%

PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.

Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.

Wanaotaka kumuua Magufuli hawatafanikiwa.
 
PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.

Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.
Kipande cha Dar-Moro tulikuwa tunaambiwa kiko 75
Ukimponda Kikwete inabidi umponde Mkapa.

Ukimponda Samia inabidi umponde JPM.

Ukimsifu Nyerere msifu pia na Mwinyi.

Wote ni watekelezaji wa ilani ya Chama kimoja.
Hakuna cha ilani ya ccm wala nini, hao wote Kila mmoja aliongoza kwa utashi wake. Kwa maneno marahisi, utashi wa hao viongozi ndio hugeuka kuwa ilani. Hiyo kitu kinaitwa ilani ni porojo za kwenda kupigia mbele ya raia, lakini kiukweli rais hutekeleza yale atakayo kutokana na utashi wake. Mfano mrahisi, ilani ya ccm ya 2015-20 ilisema mwanafunzi akijifungua atarudi shule. Lakini Magufuli alikataa hilo hadharani na hakuna wanaccm walichofanya. As a result, ilani hii ya 2020-25 aliyoiandaa Magufuli akiwa rais haina jambo hilo, simply rais hapendi.
 
Lakini pia kuna akili na IQ, sisi wengine tulimchukia mwendazake kwa sababu ya akili yake, na sasa tunaona nafuu Samia kwa sababu ameonesha ana uwezo mkubwa wa kufikiri kuliko mwendazake
Hayati alikuwa ni mtendaji wa viwango vya juu na sikulazimishi kukubaliana na mimi.

Hayati alikuwa na uwezo wa kuanzisha na kufuatilia anachoanzisha, alikuwa jasiri na mwenye msimamo.

Kawaida ukiwa nacho huwezi kukithamini. Mataifa kama Nigeria waliweza kumuelewa kuliko sisi watanzania!

Kwa hiyo unaweza kumuona fulani hana akili kumbe wewe ndio sifuri kabisa kwa viwango vya kimataifa.
 
Kipande cha Dar-Moro tulikuwa tunaambiwa kiko 75

Hakuna cha ilani ya ccm wala nini, hao wote Kila mmoja aliongoza kwa utashi wake. Kwa maneno marahisi, utashi wa hao viongozi ndio hugeuka kuwa ilani. Hiyo kitu kinaitwa ilani ni porojo za kwenda kupigia mbele ya raia, lakini kiukweli rais hutekeleza yale atakayo kutokana na utashi wake. Mfano mrahisi, ilani ya ccm ya 2015-20 ilisema mwanafunzi akijifungua atarudi shule. Lakini Magufuli alikataa hilo hadharani na hakuna wanaccm walichofanya. As a result, ilani hii ya 2020-25 aliyoiandaa Magufuli akiwa rais haina jambo hilo, simply rais hapendi.
Magufuli alisema zipo shule maalum kwa wanaopata ujauzito.

Na lengo lake ni kutunza maadili yetu. Tatizo huwa tunamezwa sana na mitazamo ya kisiasa.
 
Ukiwa unakimbizwa, halafu mara unamsikia anaekukimbiza anamwaga matusi basi we ongeza mbio tu kwani ameshashindwa huyo tayari.

Go mama samia, go!

Ikikupendeza watu kama huyu mleta mada wapatie muda kabisa katika TBC na wautumie vizuri kabisa kuelezea mafanikio ya mwendazake (kupigania legacy) hadi watakapoona imetosha!
 
Magufuli alisema zipo shule maalum kwa wanaopata ujauzito.

Na lengo lake ni kutunza maadili yetu. Tatizo huwa tunamezwa sana na mitazamo ya kisiasa.

Alisema hivyo baada ya kelele kuwa nyingi kuhusu kauli akafanya hivyo kujikosha. Kama alitaka hivyo kwanini hakuweka hilo kwenye ilani ya 2020-25? Halafu unaposema tunakuwa na mitazamo ya kisiasa, kwani ilani sio mambo ya kisiasa bali ni ya sayansi? Philipo unakwama wapi?
 
Mkuu nilimtazama live akiongea Chalinze kwa Ridhiwani alisema wajawazito mashuleni watapelekwa katika shule maalum na ni kimaadili ili wanaobakia wasiweze kuambukizwa tabia.

Sio kila kitu kinaandikwa ndani ya ilani, kauli ya rais ni agizo tosha kabisa.
 
Hayati alikuwa ni mtendaji wa viwango vya juu na sikulazimishi kukubaliana na mimi.

Hayati alikuwa na uwezo wa kuanzisha na kufuatilia anachoanzisha, alikuwa jasiri na mwenye msimamo.

Kawaida ukiwa nacho huwezi kukithamini. Mataifa kama Nigeria waliweza kumuelewa kuliko sisi watanzania!.

Kwa hiyo unaweza kumuona fulani hana akili kumbe wewe ndio sifuri kabisa kwa viwango vya kimatai
Tusaidiane tu kufikiri, (Ingawa ninafahamu jinsi ilivyo kazi ngumu sana kuwaelewesha watu kama wewe), nyinyi watu wa typem yako ni rahisi sana kushikwa masikio, mlikuwa mnashangilia kwa makofi ujinga aliokuwa anawafanyia mwendazake, na yeye akagundua kumbe nawaongoza wapumbavu, ndio maana alikuwa anapiga vita sana watu wanaopeleka watoto wao Private school, kwa sababu alitaka sana watoto wetu wawe mbumbumbu, naomba nikuache kwa sababu nimegundua wewe una ugonjwa ambao mwendazake aliwaambukiza, na hamuwezi kupo
 
Mjinga ni wewe mkuu unayeamini katika matusi kama vile yanafundishwa mashuleni na wanafunzi wanayafanyia mitihani.

Ukisikiliza habari za humu mitandaoni ni tofauti kabisa na mambo makubwa aliyoyafanya huko kwa wananchi.

Huwezi kusema watu ni wajinga wakati wanaona mengi ambayo wizara ya tamisemi imesimamia ufanisi wake.

Huwezi kusema watu ni wajinge wakati wanaona namna ATCL ilivyofufuliwa na nchi ilivyofunguliwa kwa maana ya sekta za mawasiliano kupiga hatua.

Ukisema watu ni wajinga ukweli unaweza kuwa mjinga ni wewe, kwa maana ya mtu mgumu kushindwa kuona kwa macho mengi yaliyoweza kufanywa.
 
Kujenga reli ya njia moja karne hii halafu unaiita supermodern SGR ya mwendo kasi ni udanganyifu na upotevu mkubwa wa fedha za maskini. Reli za njia moja zilijengwa hapa nchini na Wajerumani mwaka 1910!
Reli nyingi za SGR zilizojengwa Africa hasa hizi nchi za eastern part e.g Ethiopia, Kenya, Eritrea zote ni njia moja hivi vitu ni fedhaaa ndugu
 
Hiyo ya morogoro tu bado. Sijui kama October itaanza kazi, hata mabehewa bado kuwasili, wataalam hawaja pelekwa training.

Na kuna uwezekano training wakaenda wazee wanao taraji kustaafu na ni maboss ambao sio watendaji na hata wakienda hawaji wafundisha hawa watendaji na wasimamizi. Wao wanaenda sababu ya kutunisha mifuko yao.
 
Kujenga reli ya njia moja karne hii halafu unaiita supermodern SGR ya mwendo kasi ni udanganyifu na upotevu mkubwa wa dha za maskini. Reli za njia moja zilijengwa hapa nchini na Wajerumani mwaka 1910!
Kwani Ulaya intercity permanent way zina njia ngapi? Labda tuanzie hapo.
 
PICHA: Kazi za ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR) kipande cha Morogoro – Makutupora, Dodoma (KM 422) zinaendelea ambapo Ujenzi wa kipande hicho umefikia 61%.

Ujenzi wa Reli hiyo ya Kisasa unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itamdhibiti mwendeshaji wa Treni kutovuka spidi iliyowekwa.

====

View attachment 1796165
Kenya hii
 
Nenda shule ukajifunze maana ya legacy. Miundombinu haiweze kuwa legacy.

Miaka 50 ijayo itakuwa takataka, itafumuliwa, na kujengwa ya kisasa zaidi.

Legacy hutokana na falsafa inayoishi. Marehemu hakuwa na falsafa yoyote, hivyo hana legacy aliyoiacha.
 
IMEELEZWA kuwa ujenzi wa Reli ya Kisasa (SGR), unatarajiwa kuwekwa mifumo ya kisasa ambayo itasaidia kuzuia ajali ambazo zinaweza kujitokeza wakati wa uendeshaji wa reli hiyo na ambao hautamruhusu dereva kuzidi ama kupunguza mwendo uliowekwa.

Hayo yamesemwa na Meneja Msaidizi wa mradi wa reli ya Kisasa, kipande cha Morogoro - Makutopora (Km 422) kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC), Mhandisi Christopher Mang’wela, wakati akizungumza na wahandisi kutoka Serikalini na Sekta Binafsi ambao wametembelea mradi huo uliofika asilimia 61, jijini Dodoma, kwa ajili ya kujifunza utekelezaji wa mradi kuanzia hatua mbalimbali zilizotekelezwa.

“Kama mnavyoona, mradi umefika asilimia 61, na uendeshaji wake utakuwa ni wa kisasa kwani utawekwa vifaa maalum vya kumuongoza dereva wa treni ili kuzuia ajali.” amesema Mhandisi Mang'wela.

Awali, akizungumza kwa niaba ya wahandisi hao, Msajili wa Bodi ya Usajili wa Wahandisi (ERB), Mhandisi Patrick Barozi, ameeleza kuwa anaona nia ipo na uwezo kwa watanzania katika kusimamia miradi mikubwa inayoendelea nchini huku tukiwa na usimamizi mdogo kutoka wenzetu wa nje na hivyo kuwaleta wahandisi wetu katika mradi kutaongeza chachu ya kuchukua zabuni nyingi za miradi mikubwa inayoatarajiwa kuanza na kuendelea hapa nchini.

"Tumetembelea mradi huu katika baadhi ya maeneo ambapo tumeridhishwa na mradi huu na tumeona unaendeshwa vizuri kuanzia mwanzoni hadi hapa ulipofika kwani kupitia mradi huu wahandisi wamejifunza mengi", amefafanua Mhandisi Barozi.
 
Kuna kipande toka mwaka juzi tuliambiwa kimefikia asilimia 88 mpaka leo sijui zimepanda au kushuka - Dar mpaka Moro
 
Magufuli alisema zipo shule maalum kwa wanaopata ujauzito.

Na lengo lake ni kutunza maadili yetu. Tatizo huwa tunamezwa sana na mitazamo ya kisiasa.

..hapana.

..alisema hatasomesha " wazazi. "

..kwa maana nyingine serikali yake haitasomesha wanafunzi waliopata ujauzito.
 
Back
Top Bottom